Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sasa Wakenya kumiminika Tanzania kama mvua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Sep 12, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,687
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mama mama mamaaa!Wakuu ule usemi usemao nipishe nipite umedhirihika leo baada ya mkuu wa nchi hii kusaini makaratasi kadhaa bila kuyasoma kwa makini na mkuu mwingine mkali kweli kweli anayeongoza wizara ya mambo ya nje kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kusifia boss kwa kusaini makaratasi ya kuchanganya damu na Wakenya
  habari ya kushangaza kabisa tuliyoipata jioni hii eti kuanzia sasa hivi sisi na wakenya ni damu damu
  hakya Mungu sikuamini hayo pale yule mzee mzima wa wizara ya mambo ya nje alipotangaza rasmi pale Nairobi
  sasa kuanzia kesho tunapiga kambi pale Namanga na Taveta kufanya tathmini ya wakenya wangapi wataanza kumiminika kila siku kuingia Tanzania
  sina hamu ila nafikiri tumekwisha,hakuna taifa lolote hapa Duniani linalo jiachia kiasi hiki
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,687
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  makaratasi yanasemaje hayo?au kauza nchi kwa wakenya?
   
 3. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio kuna thread kuwa mama kikwete na mmewe wameenda kenys? Bora wasingeenda
   
 4. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,407
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  waje tu kuwaamsha waliolala, a.k.a mabozongwa
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,687
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  nakuhakikishia hakuna watanzania waliolala,nenda china na taiwani ndio utajua watanzania hawajalala,wamejaa kule kununua mizigo na kwa taarifa yako hawajui kiingereza,sema kuna kitu kinatukandamiza
   
 6. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,716
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Haya nawaje kama wanajitegemea wenyewe na waje la hao wanao wakaribisha watawapa hifadhi hayo yatakua mambo mengine...
   
 7. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 797
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mbona maelezo yako ni blah blah tupu? "makaratasi" aliyosaini ni ya nini? unavyoyaelezea utadhani hayana umuhimu?
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kwanini wakenya wanapata kazi kiurahisi hapa tz kuliko watz wanavyopata kazi kenya?? ukiwa na hilo jibu ndio utaelewa kwanini tumeamua kuipa hii nchi kwa wakenya
   
 9. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,344
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Vipi tena Mkulu ameshauuza Mlima Kilimanjaro kwa Kenya?
   
 10. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,253
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wasijidanganye makaratasi kama hayana maslahi na watanzania lolote laweza kutokea.
   
 11. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 420
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  tuache uchochezi, tukileta habari tuiweke kwa ufupi ila tuifanye ieleweke. au otherwise weka attachments tujirizishe,then we can comment comfortable.
  Mungu Ibariki TZ. na waTZ then Ibariki Africa na Dunia nzima
   
 12. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,425
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  wakenya walishaingia kabla hata ya kusainiwa hayo makaratasi na kufanya hizo kazi za watanzania na wengi wamejazana kwenye mashirika yanayoajiri na wana kiburi,ubaguzi na wanachukua hati zetu kwa wingi ili kumiliki ardhi na wengine wako morogoro vijijini wameshaoa wanawake wa kitanzania ili tu waweze kupata ardhi kwani ya kwao walishaigawa kwa wazungu na hili swala walishalileta kwenye jumuhiya ya afrika mashariki likakataliwa hivyo kinachofanyika sasa hivi ni kuhalarisha huo ukaazi wao
   
 13. m

  makeda JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heeeee!
   
 14. N

  Nagoya Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msiwaogope wakenya hawana lolote ni njaa tu inawasumbua. Mbona wachina tume shindana nao mpaka wanauza karanga kariakoo!!!
   
 15. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 978
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  hawa wakenya wanaokuja tz sio wakenya wale halisi wa town kama nairobi hawa wanaokuja tz ni wakenya makapi na wanatokea mikoani kama tz tungesema labda sumbawanga ,kigoma lindi etc . wale wakenya wenyewe wa town hawaji tz kwenye vumbi . wako zaoi ma ulaya wanapiga kazi za maana . wa tz tupo tu na uoga wetu
   
 16. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 6,759
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Kweli wameingia kitambo mie niliwaona Serengeti kwenye vijiji wanakusanya tumbaku na matrekta na mwingine nilimwona Mufindi ndani kabisa Usokami panaitwa anafanya kazi ya unesi na wengine wanakata magogo. Acha waje watuamshe maana wao wanapiga kazi yoyote kinachowatoa ni wanajua kufanya savings wakati sie kazi yetu kulalamika mshahara mdogo wakati tunapotumia hela ni tofauti na malalamiko yetu
   
 17. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 3,748
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180


  Asikudanganye mtu, alalae haamshwi kamwe. Sie wabongo ni watu wa kubwabwaja tu bila action. Through entire East Africa, Tanzanians are known as lazy people and are incompetent. Competent Tanzanians are in the diaspora NOT here. Sasa wewe kama una shirika ama biashara yako utamuweka Mtanzania hapo ili akujazie namba? Watu wanataka ushindani katika biashara, utamuweka mtanzania madarakani yeye badala ya kujituma na ku-attract potential customers utamkuta bize mitaani wakati wa kazi na changudoa wake ama kwenye dili zake huku biashara yako anaivurunda. Hii watu (wawekezaji) wanajua na ndiyo maana wanawaacha watanzania kwa makusudi tu. Hata hapa kazini wenzangu wananiuliza kwanini tuko hivi? Mwenye hili jibu alitoe tafadhali!
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  andika habari kwa uhalisia...sio kwa hisia zako tu!
   
 19. m

  makeda JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkereketwa tuko ivi kwa sababu,ndio misingi tulojengewa na mababa,mama,zetu lakini zaidi viongozi wetu kuwa utajiri unapatikana vuup!mfano we umekuwa unaona babako ni mkurugenzi au ana cheo flani na maisha yenu ni ya kisupastaa balaa,shopping dubai,na vitu km ivo.

  so ukikua utatamani kuajiriwa na kuwa tajiri kwa cheo.hii inaathiri mana ni sawa na mtu anapewa hesabu anagelezea jibu ila haonyeshi njia kuwa kapataje lile jibu.na hatujapewa malezi ya kumhoji mzazi,laiti watt wangekuwa wanahoji baba we ni tajiri sana umefikiaje kuwa na thamani zote hizi,ili na mm nikikua nijue naanzia wapi tusingekuwa na taifa lenye poor displine kiasi hiki.

  Na pia tusiwadharau sana wachina kuwa hawana lolote,hawa jamaa wamekamata ardhi mikoani ukiona unaweza kulia.wana viwanda vya siri.
   
 20. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 1,692
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Kama kawaida yake rais wenu kaongwa tena sasa si suti bali Ng'ombe 25 na kampuni kubwa la usindikaji maziwa huko kenya linalomilikiwa na familia ya Kenyatta.
   
Loading...