Mwili wa diwani wa NCCR unaagwa kasulu mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwili wa diwani wa NCCR unaagwa kasulu mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajunju, Sep 19, 2012.

 1. k

  kajunju JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 974
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mwili wa aliyekuwa diwani wa nccr mr sabuni, unaagwa stand ya tax hapa ksulu mjini.diwani huyu kwa vipindi zaid ya viwili, alikuwa diwani wa mgera,kilelema. Enzi za uhai wake alikuwa diwan mchapa kazi hasa. Amelazwa kwa wiki moja hospital ya kabanga had anakumbwa na mauti jpili iliyopita. Diwani huyu ndiye chimbuko la chama cha nccr mageuzi kuwa tishio mkoa wa kigoma. Mungu ametoa, mungu ametwaa, jina lake libarikiwe. Amina
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Rip Mh. Diwani!
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Apunzike kwa amani.pole kwa familia
   
 4. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Aman ya bwana iwatawale wafiwa
   
Loading...