Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ivi kweli mwaka huu kuna elinino? maana tusije tukaa andaa mashamba tukapoteza nguvu bule
0 Reactions
1 Replies
3K Views
20 SEPTEMBER 2012 Na Masau Bwire MTIHANI wa taifa ya kuhitimu elimu ya msingi jana ulianza kwa dosari jijini Dar es Salaam, kwa kuchelewa kuanza kufanyika muda uliopangwa kutokana na kupotea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu nianze kufuatilia utabiri wa hewa kwenye redio Tanzania na sasa redio zengine na TV pia, mamlaka ya hali ya hewa TZ imekuwa na kasumba ya kutabiri mabadiliko ya hali ya hewa na kupata...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Showing the couple's support of Barack Obama with an intimate fundraising event at Jay-Z's 40/40 Club in Manhattan, PEOPLE's reigning World's Most Beautiful Woman introduced the President to the...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Atakae Bainika kuvuta Sigara kwenye mkusanyiko wa watu atakamatwa na kupigwa faini ya laki 2 au kwenda jela siku 7,Huo muswaada unaandaliwa kupelekwa kwenye baraza la wawakilishi. Source;ZANZIBAR LEO
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Your mobile phone, computer and game console have a bloody past — tied to tantalum mining, which funds the war in the Democratic Republic of the Congo. Drawing on his personal story, activist...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo majira ya mchana kuna jamaa wamepora begi la hela na kuanza kukimbia nalo katikati ya jiji la Mwanza huku wakikimbia kwenda kugawana wakati wananchi wengine wakifukuzia mchongo jamaa wakatumia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hapa Nmc Arusha kimenuka baada ya kundi kubwa la wafanyabiashara za mbogamboga kuhamishiwa hapo asubuhi ya leo na kukutana na mambo yasiyoeleweka kimpangilio na hivyo kuleta tafrani kubwa mpaka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipita na kenya airways hivi karibuni kutokana na project mbali mbali ninazofanya sasa kuna swala nimeliona na nahisi hii airline iachane na kutumia hii sehemu hii ni mara ya nne kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapa mh Lema akiingia garini mara baada ya shauri kuahirishwa hapa ni mamia ya watu kama sio maelfu wakimsindikiza
5 Reactions
41 Replies
6K Views
As the world searches desperately for ways to boost food production by at least 70 percent by 2050 to feed an increasingly hungry planet, many are looking to Africa as the place where a large part...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
ni miaka michache imepita baada ya serikali kupata mabasi kutoka kwa Benki ya CRDB na makampuni mengine kwa ajili ya wanafunzi... Sasa yamekuwa kitendawili hayaonekani wala wananchi hawajui...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kila pande ya nchi nikizunguuka kila mtu anailalamikia serikali, Je serikali itatengeneza uchumi wako?
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Utafiti wa ki document unaendelea kufanywa kuthibitisha kuwa Halmashauri ya Kinondoni imekuwa ikitenga 100Million kila mwaka kwa ajili ya kushonea majoho na 95millioni kwa ajili ya Ulinzi wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Notable Sayeret Matkal figures From Wikipedia, the free encyclopedia Sayeret Matkal Active 1957 – Present Country Israel Branch Israeli Army Type Special Forces Role Reconnaissance...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye utumishi wa Mnadhimu mkuu wa JWTZ Lt. Gen A. Shimbo unategemewa kukoma leo baada ya kufikia umri wa kustaafu. Tunamtakia kamanda mapumziko mema huku tukimtaka atafakari mchango wake kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni maeneo ya Kwangulelo baada ya jamaa mmoja mwenye gari alipomuua dereva wa pikipiki baada ya kupita gari lake ghafla. (pikipiki ilichomekea gari) Mwendesha bodaboda alisimama pembeni ya...
7 Reactions
115 Replies
8K Views
Guys kama mmesikia kuna taarifa kwamba standard chattered wamevamiwa na majambazi na kuibiwa kama walivyofanya pale CBA....Siyo kweli,it was just a stress test.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Hii ni ajabu sana, hivi kustaafu maana yake nini. Ukifika wakati wa kusahihisha mitihani toka kwenye vyuo vya uuguzi, basi utakuta Wizara ya afya kitengo cha mafunzo ya uuguzi wanawaita wastaafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom