Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mchana wa saa saba, kama kawaida nilikwenda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa wodi ya SEWAHAJI NO 18, Ghafla nilisikia mzozo ambao ilikuwa ni kati Daktari na mgonjwa aliyekuwa amelazwa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
hivi karibuni tumesikia uamuzi wa serikali ya manispaa ya arusha ya kuwahamishia wamachinga katika eneo la uwanja wa NMC ambalo ni moja ya open space chache mjini arusha.ni wazi uamuzi huu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
kama kijana wa kitanzania unayependa maendeleo na nchi yako niwakati wako sasa kutafuta maisha siyo kila siku unabaki kulumbana kuhusu siasa. kwa kipindi kirefu chaka bovu amefanya utafiti nakuona...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The Chairperson of the African Green Revolution Alliance, Dr Koffi Annan and Mrs Melinda Gates, who is the Co-chairperson of Bill and Melinda Gates Foundation, have both been impressed by...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nasoma threads na posts nyingi humu, watu wakijiuliza iweje Wakenya wanatuzarau sana sisi Watanzania? Leo kupitia kipindi cha jarida maridhawa cha STAR TV nimesikia kuwa Nchi yenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Imekua ni fasion siku hizi kwa kila kijana ambae anaamini katika cdm na sera zake(ingawa wengine hata hawazijui) kujadili kuhusu the coming election of 2015 kama vile its tomorrow!,Kama kuna mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni hari ya ukame na njaa katika kata ya Oljoro iliyopelekea wananchi kushindwa kujishughurisha na shughuri zingine za kiuchumi na imepelekea mbubge wa Simanjiro kifika na kutoa ahadi yenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana JF,takriban miaka saba imetimia tangu tukio la mtu mmoja alipomvamia ghafla Mh JK,katika uwanja wa CCM kirumba kutoka jukwaani alipokuwa akihutubia umati wa wana CCM katika kapeni ambazo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Since asubuhi maeneo ya kinondoni umeme unakatika na kurudi,hatuelewi nini kinaendelea,kama ni ufundi mnaousema,huu ufundi wa namna gani wa kutaka kuchoma vifaa vya wananchi,umeme unakatika hata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi binafsi kama nitapewa nch hii cha kwanza nitaongeza mishahara kwa askar polisi kwa sabbu wanafanya kaz ngumu na pia kaz zao ni riski...,alaf pia nitaboresha miundo mbinu na nitahakikisha watu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Makubaliano ya Chadema na CUF kusafisha njia ya kupitisha Meya wa Chadema na Kaimu CUF ndoa yao ya mkeka imekuja kutalikiwa na sintofahamu ya kinachoendelea Arusha hali halisi inaweza kusomeka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Maneno: "Ukiwa porini na kwa bahati ukakutana na Mrangi na nyoka, ni bora umuue Mrangi na nyoka umpotezee". Mantik ikoje hapa.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba serikali yetu hususa wizara ya utumishi itoe tamko juu ya mavazi sehemu za kazi. Hivi sasa imekuwa ni majezi ya timu mbalimbali kuvaliwa sehemu za kazi. Utamaduni huu jamani unatokea wapi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Glasgow Airport staff seize 36 giant African land snails UK Border Force officers have seized 36 live giant African land snails from a Nigerian man at Glasgow Airport. The snails, which the...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
  • Closed
Asalaam Alekum Ndugu wana jamii nimekuwa msikilizaji wa Redio imani karibu kwa muda wa miezi 6 sasa mfululizo bila ya kubadilisha kwa kweli nimejifunza mengi mno na nimekuja kugundua baada ya...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwanza nianze kwa kukupa pongezi ya kupanda cheo sambamba na kupanda madaraka kutoka Ukuu wa JKT hadi kuwa Mnadhimu wa Jeshi kwa ujumla. Nimepata kupitia habar/tetesii zinazotapakaa baada ya wewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BONYEZA VIDIO chini kuhusu kongmano la Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar VIDEO – SENIMA BARAZA LA WAWAKILISHI 2 | Mzalendo.net Tumechokaaaaaa | Mzalendo.net 3
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii Kampuni inayolindwa na Wanasiasa Mafisadi, licha ya malalamiko mengi kwa uongozi wa VODACOM kutupilia mbali udhamini wa tovuti unaowafundisha watoto wetu ukahaba, yaanu U-turn Blog, uongozi wa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Neno la Leo: Ni bora kufa nikiwa nimesimama kuliko niishi nikiwa nimepiga magoti! Rafiki yangu mmoja baada ya kunyanyaswa sana na bosi wake aliamua jana kuacha kazi. Angeweza kuendelea na...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Someone in US commenting on the recovered 4.4 million jobs since early 2010, "The industrial age is over, its now the digital age. If you don't have at least a college degree with something...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…