Hoja ya wanafunzi wa Arusha Sec kuhusu kiwanja cha NMC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja ya wanafunzi wa Arusha Sec kuhusu kiwanja cha NMC

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Sep 27, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hivi karibuni tumesikia uamuzi wa serikali ya manispaa ya arusha ya kuwahamishia wamachinga katika eneo la uwanja wa NMC ambalo ni moja ya open space chache mjini arusha.ni wazi uamuzi huu umehusishwa na harakati za kisiasa mjini arusha.naamini maafisa mipango wa arusha walichukua uamuzi huu kwa shinikizo la kisiasa na sio kwa kuzingatia taaluma.

  Katika hatua nyingine ya sakata hili kuna taarifa kuwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya arusha sec wamepinga vikali matumizi ya viwanja vya NMC kutumiwa kama gulio(soko) kwa kuwa kiwanja hiki kinakaribiana sana na shule yao.uwepo wa gulio karibu na shule utapunguza mandhari ya kisomi ya shule yao.wamehoji ,toka lini soko likajengwa shuleni?
  Wametishia kugoma mpaka hapo soko hilo litakapohamishwa na kurudisha hali ya mazingira tulivu pembezoni mwa shule yao.

  Mimi naona wana hoja,wewe je?

  NAWASILISHA...
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kama lengo lilikuwa kuikomoa chadema basi serikali imekosea kwani waathirika ni wanafunzi!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  Na waunga wanafunzi mkono....
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wanafunzi wana hoja ya msingi,mwenye masikio na awasikie!
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  arusha inaelekea kumuelemea magesa wa mulongo,eti amekataa plan ya kujenga stand kwa mromboo na badala yake anataka ijengwe USA.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa mkoa wa Arusha amefanya kazi kubwa sana kuijenga CHADEMA. Hiyo kauli ya wanafunzi wa Arusha Sec ni wazi wanaanza kuona serikali ya CCM inawadhulumu nafasi yao ya kusoma kwa amani. Hii ni own goal kwa CCM.
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Wanafunzi wana hoja ya msingi nawaunga mkono
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa ameletwa kuidhibiti chadema arusha lakini atachemka,nasikia wafanyabiashara wa arusha wameshamhonga kiwanja lazima atulie.
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,349
  Likes Received: 10,485
  Trophy Points: 280
  master plan ya arusha haisemi kama NMC ni eneo la wamachinga.akitokea kiongozi mwenye msimamo atawaondoa hawa wamachinga.kwa nini hatuheshimu mipango miji?

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  hebu pia tutazame miji mingine: pale tengeru kuna gulio karibu na chuo cha patandi, DSM, shule ya msingi uhuru ni karibu na soko la mchikichini, Buguruni pri ni karibu na buguruni sokoni achilia mbali wafanyabiashara wanaoizunguka shule: kwa hili la Arusha, nadhani wanasiasa waliishiwa hoja wakamua kuwatua wanafunzi. Siasa chafu.
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  acha ushabiki, hakuna hoja hapo.
   
 12. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jibu hoja ya wanafunzi kwanza kabla ya kuichakachua, hoja ni je gulio shuleni linakubalika??? zogo lake linaathiri utulivu shuleni ambao ni mhumu kwa wanafunzi kujisomea na kuwasikiliza walimu wao madarasani wanapofundisha??? kama makosa kama hayo yalifanyika buguruni au mchikichini da slam haina maana kwamba sasa ni halali makosa hayo kufanyika nchi nzima. Sisi huku Musoma huo ujinga wenu msituletee kabisa!!!!!!
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naona umetaja maeneo meengi ya shule zilizo karibu na gulio.hoja yangu sio kuwepo au kutokuwepo kwa magulio karibu na shule au vyuo.hoja iliyopo hapa je ni sahihi kwa gulio kuwa karibu na shule?kati ya sehemu ulizotaja kipi kilianza gulio au shule?
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kinacho nifurahisha ni kwamba CCM kila kukicha inazidi kujifunga magoli yenyewe, mpaka raha!
   
 15. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,152
  Likes Received: 477
  Trophy Points: 180
  Wewe hata ramani ya arusha huijui labda,unafikiri kugawa pale NMC kwa wamachinga wakati ccm ikihodhi viwanja vyote vya michezo nchini ni fare,je watu wengine kama madhehebu ya dini yakitaka kufanya mikuano wataenda fanyia wapi?

  Haya nadhani hata mza tutasikia viwanja vya sahara na furahisha navyo vimegawiwa wahindi
   
 16. vena

  vena JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naonga mkono 100%:amen:
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wakiandamana nitawaunga mkono..
   
 18. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Madesa muongo amechemsha haiwezi CDM.
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  wewe kwa akiri yako unadhani sijajibu?, lazima pia ujiulize, who owns the narby plot. Ndo maana mna lea watu wanaoshambulia majirani. Nimekupa mifano hata ya arusha-patandi, wewe unadhani ninachakachua?!, acha ushabiki, jibu hoja sasa, mifano iko mingi hapa Tanzania inayoonesha masoko cum magulio yakiwa karibu na shule, is Arusha an exxxxxception?, waambieni wanasiasa wanaposhindwa ama kukosa sera wasipandikize ujinga kwa wanafunzi, wajue kuwa hiyo dhambi wanayofanya itawarudi watakapo kamata madaraka.
   
 20. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mi binafsi nafikiri hili suala la Nmc ni la dhararu tu ila kama ni suala la kudumu
  ni dhahiri huu ni ufinyu wa mawazo wa wahusika kama si IDHAIFU ukiwa muelewa wa
  eneo husika watoto hasa wa advance wakiwa darasani juu pale wanakua bizy na zile
  kelele za sokoni zaidi ya shughuli za kielimu.
  Nakumbuka wakati pale Shule ya BWM palikua na stendi na baadae ilihamishwa kwani
  wadau walikubaliana na kuihamisha kwa maslahi ya kunusuru Elimu na hawa watafanya hivyo tuuuuuuuuu.
  "Mtu ambae hakusei ni yule ambae hajajaribu kitu kipaya"
   
Loading...