Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

Hii ni kwa vijana tu. Soma hapa

chaka bovu

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
16
Reaction score
0
kama kijana wa kitanzania unayependa maendeleo na nchi yako niwakati wako sasa kutafuta maisha siyo kila siku unabaki kulumbana kuhusu siasa. kwa kipindi kirefu chaka bovu amefanya utafiti nakuona kuwa asilimia kubwa ya vijana wameacha kufanya maendeleo na kulumbana kuhusu siasa, siwakatazi msijuusishe na siasa bali siasa inawakati wake na maendeleo pia.jua unatoka wapi na unaenda wapi amka. NDIO MANA TUNASEMA MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE.
 
sasa kijana atajikomboa vipi wakati kila shughuli halali wanazofanya zinatatizwa na wanaojiita watawala. Utasikia eneo wanalotumia haliruhusiwi,mama ntilie wananyanyasika miongoni mwao ni vijana,ili wasitumie muda wao mwingi kwenye siasa nashauri waachwe wafanye shughuli halali.
 
kufukunzwa kwa wafanya biashara wanafukunzwa kwenye maeneo yasiyo rasmi ya kufanyia biashara ebu angalia eneo kama machinga complex karume ilala ni eneo zuri tu lakini akuna wafanya biashara. kama wafanya biashara wangekuwa wote pale unazani wanunuzi wasingekuwepo.ndio mana nasema vijana niwakati wakubadilika nakufanya tanzania kuwa kama ulaya.
 
wewe lazima utakuwa GAMBA, sasa mmezidiwa kila kona, sasa mnajaribu kujifanya mna busara.

sasa hapa mtakiona cha moto, popooooooooooooooooooooz
 
a. NDIO MANA TUNASEMA MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE.[/QUOTE]
yaani wezi tuwaachie wakituibia tu? kisa ya ngoswe aachiwe ngoswe, je wajua mwana siasa ni mtu anaye jituma au anaye lipwa ili atende haki, sasa ni vizuri ukawaambie hao mabwana/mabibi zako kwamba kama ha wawezi kuwatendea haki wananchi basi watoke kwenye siasa wakajishughulishe na kilimo kwanza/elimu kwanza
 
umepotea kabisa hoja yako haujaifanyia utafiti kabisa au wewe umetoka katika familia bora, pili wewe ni ccm damu lete hoja za nguvu hoja yako haina msingi
 
Brother kaka,cjui sister utajijua mwenyewe,we uliona nchi gani duniani ikaendeshwa bila siasa,hata watawala wa nchi kubwa duniani wanhubiri siasa,sasa wewe usiyependa siasa utakuwa kiongozi wa namna gani,mi nashauri vijana waipende siasa lkn iwe ni Ile ya kusimamia kweli na haki,usirudie kutuandikia thread za kishule shule.
 
hapo tu nimeamini watanzania tunapenda kulumbana.soma vizuri uelewe hoja yangu nasema sijakukatanza kujiusisha na siasa ila now vijan awengi wamekuwa hawa fanyi kazi wakizungumzia maswala ya siasa yani wakati wakazi utakuta wamekaa na kujadili maswala ya siasa. mm na wahusia vijana wafanye kazi siasa ipo tu pia kama ww mbishi kaa na kujadili siasa yako ambayo wenzako wanalima ww umekazana na siasa kama ujakula jeuli yako.soma kwa ujuhudi, fanya biashara kwa makini na maendeleo hiyo ndio siasa yako kijana.
 
Kweli wewe ni chaka bovu, kwa maana unatafsiri mambo kwa juu sana. Hebu jilize, je ukitembea huko barabarani vijana wanapiga porojo za siasa aua wanahangaika na kazi? Je wale machinga wanaobeba 'maduka' yao barabarani wanapiga porojo? Pole ndugu, pole sana....
 
tutafanyaje biashara wakati kabrasha la TRA linajazwa na sisi hohehahe????
 
We Chaka bovu usitufanye na sisi tuwe kama wewe,usijikaange kwa mafuta yako mwenyewe,hapa unachokiandika ni kilimo,biashara,au siasa uchwara za kupoteza malengo?
 
kimbori kumbuka maeneo ya biashara yametengwa.usipende kulalamika wakati machinga complex aina watu wakufanya biashara ww kama kijana asubuhi unakaa kijiweni unafanya nini? sasa utawezaje kuzungumzia siasa wakati kazi ufanyi au ndio nyinyi unabaki kusema serikali. fanya kazi usije mtoto akakushika ndevu:A S 39:
 
Kijana asipoji-involve kwenye siasa nani atachukua madaraka miaka ijayo/ au exoerience ya siasa za Tanzania atazipata wapi maana hata hao wazee wataondoka na ambao walikuwa vijana hawafuatilii siasa za nchi ndio wamekuwa wazee sasa sijui wafanyaje sasa
 
junior k kumbe hata ww ujielewi ujui soma hajo kwanza. kama unaelewa sana waulize wezako wanao ngangania siasa awataki kufanya kazi. NIWAULIZE WOTE KAMA MNAJUA KILA MMOJA ANIPE MAJIBU SIASA NI NINI? hapo ndipo nitajua kama mnajua. anza sasa kutoa majibu
 
Bwana mdogo Chaka bovu ngoja nikurudishe darasani,ningependa nitumie lugha ya kigeni usipoelewa Nambie nitakupa tafsri ,siasa(politics)from Greek "politicos" is a term generally applied to the art of science of running government or the state affairs,applies to instutions,fields and special interest groups such as corporates,academic and religious,it consist "social relation involving authority or power".
Kwa hiyo hao wamachinga,wanasiasa,wasomi,hawawezi kusonga mbele bila kuijua
Siasa ya nchi yao vyema, ngoja niachie hapo nisije pasua kichwa chako,kama hujaelewa uliza.
 
Back
Top Bottom