Mafia ni kisiwa ambacho kipo kusini mwa Tz.
nipo hapa kwa muda usiopungua mwezi sasa ...
shughuri kubwa hapa ni uvuvi wa samaki mbalimbali wapoambao ni hotcake
yaani wanavuliwa kamba koch,pweza...
Jamani wanajamvini nimemsikia mkurugenzi wa Clouds Entertainment kuwa tamasha la Fiesta ni la kitaifa kwa kuwa wamepata ushirikiano wa nguvu kutoka kwa polisi coz wanakuwa na Polisi 500 kwa...
Wadau.
It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list ya "7 Wonders of the World" wakati nchini kwetu kuna multitudes of other...
JUMAMOSI, OCTOBA 06, 2012 08:23 NA MWANDISHI MAALUMU, OTTAWA
RAIS Jakaya Kikwete amesema, anashangazwa na jitihada za upotoshaji wa makusudi wa ukweli kuhusu miradi ya maendeleo, inayobuniwa...
Fidelis Butahe na Aidan Mhando
SAKATA la mgogoro wa Ziwa Nyasa limezidi kuchukua sura mpya baada ya Serikali ya Tanzania kupingana na kauli ya Rais wa Malawi, Joyce Banda aliyetangaza nchi hiyo...
Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena...
kweli tanzania nayo ni moja ya majabu saba ya dunia kwa mara ya kwanza tanesco na ewura wana kongamano pale mlimani city na watu wakwenda kutoa maoni wanatakiwa kulipia laki mbili na ni siku...
Nani atatusaidia kwenye hili,hii ndiyo ramani iliyotolewa na nchi za ulaya na wameamua kuiunga mkono malawi,,,sasa nani atatupigania jamani wamalawi watatumaliza,,,,aibu hiii!
Kwa wakazi wa Dar mtakubaliana nami kwamba kwa sasa kuna wimbi la wizi wa laptop, kwenye magari madogo hasa kwa wale wanaotoka makazini na kulazimika kupita ama kwenye mikutano ya harusi au...
Mambo vipi wakuu. Pole sana na majukumu yenu ya kila siku. Naombeni ufafanuzi juu ya hili kama kuna uhusiano wowote baina ya rangi za kijani na njano kama uhusiano wa Klabu ya Yanga na chama cha...
Nimekaa hapa katika moja ya nchi tajiri zaidi duniani tukiandaa mlo na wanangu. Kila siku, kipindi cha mlo hunipa wakati mgumu sana. Wakati watoto wangu wakiwa na uhuru wa kuchagua, tule kuku...
Wauguzi wa hospitali ya mirembe mkoani Dodoma wamegoma wakidai kuongezewa posho ya muda wa ziada wa kazi.
Wauguzi hao wanadai kiasi cha sh 3000 wanacholipwa ni kidogo ukilinganisha na kiwango...
Peter Msigwa
Kugombea Urais ni haki ya Kila raia wa Tanzania ,rai yangu kwa Kila anayetaka urais anapaswa atuambie,1.what is his/her vision for this country? 2.is he /she able to Articulate the...
Ni mida hii,ilikuwa inatokea Mwadui kuelekea Shinyanga mjini,zaidi ya majeruhi 15 wamekimbizwa hapo Kolandoto Hoaspital kwa matibabu,marehemu alikuwa ni mwalimu katika Shule ya Msingi...
Watumishi wengi wa serikali hasa walimu jana walimiminika nmb ili kuweza kupata chao. Nyuso za watumishi hao zilibadilika baada ya kuona akaunti zao haziso hatua iliyopelekea wengine kurudi...
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limewaagiza viongozi wa mashirikisho ya sanaa hapa nchini kufuatilia kwa karibu matukio ya ukiukwaji wa maadili yanayoendelea katika sekta hiyo hivi sasa na...
French President Nicolas Sarkozy faces an uphill struggle in the second round of the presidential election, after coming second in Sunday's first vote.
He won 27.1% of the vote, while his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.