Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

juzi nikiwa katika restaurant moja kati kati ya jiji walikuja wadada wawili wakaanza kuongea kuhusu mitandao ya simu sasa katika kuongea yule dada akaanza kulalamika anamsimulia mwenzake kuhusu...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wadau mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa watu wanaoshindwa kujibu maswali rahisi ya kipima joto cha itv na kusema HAWAJUI uelewa wao ni mdogo sana au? Mfano swali la leo..JE WAFANYABIASHARA...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Siku hizi tuwe makini.Mwana-CCM yeyote akisema atakuwa na Press Conference tufikiri mara mbilimbili kwenda au kufuatilia. Hawa watu wamechoka na wanatuchezea. Sumaye ndio kasema nini? Kigwangalla...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumaini langu nyote mu wazima wa afya, ila kwa wewe ulio na udhaifu wowote basi Muumba wako akurejeshee afya njema. Wakuu, nadhani baadhi ya watanzania wengi wanaona na kufuatilia mfumo mpya...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Jee nini kimefanyika kuondowa hali hii? Hyena Square - YouTube
0 Reactions
3 Replies
2K Views
:embarassed2:Habari ambazo nimezipata toka kwa kaka yangu anayehudhuria mafunzo ya kupandishwa cheo katika Chuo Cha Polisi Moshi (CCP). Ni kuwa siku ya jana chuoni hapo ilikuwa ni majonzi makubwa...
0 Reactions
39 Replies
13K Views
Jaman wana jf nawashukuru sana kwa ushirikiano wenu mzuri.nilikuwa naomba msaada wenu kujua eti nilini watatoa majina ya wanao anza mafunzo ya polisi inakwaje maana nimuda mrefu sana!kwa anayejua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba elimu juu ya swali langu hili 1: Je mpangaji anaweza akalipia na kununua LUKU tanesco kwa jina lake 2: Kama ni mali ya mpangaji je akihama anaweza kuhama na LUKU yake? 3: Kama inabidi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida siku hizi kuwasikia viongozi mbalimbali wakianza na salamu zenye vionjo vya kidini hata katika mikusanyiko isiyo ya kidini. Kikao ni cha kiserikali kabisa au...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Atazungumza na Amin ANthony Mgeni-Mliman TV Saa Moja na nusu usiku,Marudio Saa tatu na nusu usiku
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Viongozi wetu Tanzania wana mtazamo Tafauti wa Taifa hili http://www.youtube.com/watch?v=hp6WQqKON8w&feature=related
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kingungengombare Mwiru ametinga katika msiba wa aliyekuwa mfanyakzi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mr Chochole. Chochole amefariki usiku wa kuamka Jumapili, Ujio wake Kingunge umeshtua watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa tupo kama kilometre moja tu na matank ya kuhifadhia maji yaliyoko Kimara. Kwa kawaida huwa mgao ni mara mbili kwa week. Tusaidiane hawa dawasco tuwafanyaje?
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Jumapili njema jaman Mungu a2tangulie pa1 sana.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
WanaJF: naomba kuoitia jamvi hili iwapo kuna mtu anafhamu kinachoendelea katika Idara ya Uhamiaji -- sababu ya kuchelewesha kutoa paspoti. Kuna dada yangu mmoja alioma pasipoti na kila kitu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu jamaa sijui kashindwa kazi au mafisadi wamemteka? kiukweli kwa upande wa mererani tunamgao wa umeme kila siku sasa ni mwezi umefika.umeme unakatwa saa moja asubuhi inarudi saa nne usiku kila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mara nyingi Star TV imekuwa ni moja ya vituo vya TV vinavonikuna sana hasa show zao za masuala ya Siasa, Elimu, Uchumi na hata Michezo. Sabaubkubwa ni kwamba hawako biased. Thumbs Up! hapa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human Planet Angalia hiki kipande cha video na useme umejifunza nini? http://www.youtube.com/watch?v=Z3AtVgiYKd8 Three Men vs. Fifteen Hungry Lions - Human...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Ninapenda sana kutumia vitu vya asili, lakini mafuta ya alizeti ambayo huwa nanunua dukani mara kwa mara (super market) yenye ujazo wa lita 5 yana radha ya kauchungu hivi. Je! ni mimi tu au
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jana mahabusu waliokuwa wanapelekwa monduli mahakamani ametoroka kwenye karandinga la polisi baada ya kutoboa bati la karandinga hilo ambalo limeoza kutokana na mikojo ya mahabusu na kutokea chini...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom