Eti fiesta ni tamasha la kitaifa duh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti fiesta ni tamasha la kitaifa duh!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sunguruma, Oct 5, 2012.

 1. s

  sunguruma Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani wanajamvini nimemsikia mkurugenzi wa Clouds Entertainment kuwa tamasha la Fiesta ni la kitaifa kwa kuwa wamepata ushirikiano wa nguvu kutoka kwa polisi coz wanakuwa na Polisi 500 kwa ulinzi.

  swali hili tamasha la fiesta lina Utaifa gani zaidi ya Maovu kibao kule na wanatangaza kuwa kila kipindi kitakuwa na Bar yake ili watu wanywe na kusazaa.

  duhuuuuu hii ndo tanzania bwana Polisi wanaacha mambo ya msingi wanashabikia ujinga Bora kuwa Mzanzibari Hakuna haya mambo.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,159
  Likes Received: 12,871
  Trophy Points: 280
  Yaani maandiko yanasema "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa"
  Kwa akili ya kawaida kama Mungu yu ndani yako hutaenda

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Polisi lazima walinde maana nchi hii inaendeshwa na mapato yanayopatikana kwenye vileo. Ukitaka kuhakikisha cheki contribution ya tax from TCC na TBL kwenye pato la taifa.
   
 4. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Utaifa wa wema sepetu na anti ezekiel, kuonesha nyeti zao mbele ya kadamnasi,kazi kwako mama mzazi wa wema,mwanao anaonekana kurithi mapito yako
   
 5. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mtake radhi mama wa watu.. kwa nini umhukumu kwa makosa ya bintie???? Wema ni mtu mzima and she is responsible for her own actions
   
 6. s

  sunguruma Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwanza income za milangoni kwa ajili ya hilli tamasha zinalipwa kodi kweli nathani wanapokea hela nyingi ambazo mwisho wa siku hazina kodi nimemshangaa kumuona waziri wa Habari, Michezo akiliongelea hili tamasha hadi nikashituka
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  khaaaaaaaaaaaaaaa ttooo early to judge subiri tusikie walihudhuria wangapi,ponda mali kufa kwaja khaaaaa
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  i do remember mama yake alijitokeza hadharini kwenye vyombo vya habari aidai amemfunza mwanae!!!!!!!!!!!!!kabla hajatuonyesha nyeti swali hivi alikwenda mfunza kuonyesha nyeti au alimfunza nini bora angejinyamazia kimya tuuuuuuuuuuuuu
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Lazima waite la kitaifa na ndio maana wakati Mwangosi anauawa na Polisi huko Nyororo Iringa, wao walikuwa wanapewa full ushirikiano na ulinzi wa Polisi huko Kirumba Mwanza.
   
 10. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Simtaki radhi,kama vipi tukutane mahakamani,nataka kumfungulia kesi ya kushindwa kumlea huyu binti.
   
 11. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  JF Never supports the freaks, siendi kwenye upumbavu bora nikaogelee na Familia yangu bwawani Mindu Hahaha
   
 12. s

  sunguruma Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  karibu nitakuwa Samaki Samaki napata Mchemsho wa Samaki na Pepsi Baridi kuliko kwenda kwa hao wehu
   
 13. M

  Maguguniga Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwenye mpira viingilio vinalipiwa VAT ambayo ni 18% je na viingilio vya Fiesta kuna VAT kama hakuna TRA Source nyingine ya mapato hiyo. Kuanzia walivyoanza mpaka wanahitimisha kuna hela ya kutosha kabisa.
   
 14. bologna

  bologna JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 1,155
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Yan hapa hadi kero mtaani. watoto full kutupiga virungu kakazao ilimradi waende huko. Haya mambo Clouds hatuwakatazi kabisa, lakini kuwe na age limit kuingia kwenye tamasha. Mm binafsi mtaani kwangu naona watoto wengi chini ya miaka 18 ndio wanaangaika kweli na hilo tamasha, sijui labda wenzangu vp huko?.
   
 15. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Atuondolee upuuzi wake. Halafu wanaacha atangaze pumba kama hizo, yaani hilo tamasha linafanana na yale maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru!? (maana nayo yalikuwa ya kitaifa)
  Hiyo idadi ya polisi inatokana na idadi ya watu wanaokadiriwa kuhudhuria, it's a common sense.
   
 16. s

  sunguruma Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimefurahi ile juzi kwenye mechi ya simba na yanga kuna VAT imelipwa sasa haya matamasha yana VAT kweli zaid ya kodi ya kampuni husika naomba aliye karibu na TRA atujuze coz TRA wanakimbizana na kodi za ulanzi wanawaachi hawa mapapa wa kukwepa kodi
   
 17. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dunia n hii na waendaoni viumbe
   
 18. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  We unataka watu waishi kama unavyotaka wewe hii ni THE GIANT Tanganyika pop 45mil huwez kufananisha na mtaa wa pop 0.9mil zanzi-BAR.
   
 19. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sawa baba/mama unayejua kulea watoto...
   
 20. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo Mkurugenzi hatumii akili kufikiri,anadhani hilo dafu lake kichwani linatosha!
   
Loading...