Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Mambo vipi wakuu. Pole sana na majukumu yenu ya kila siku. Naombeni ufafanuzi juu ya hili kama kuna uhusiano wowote baina ya rangi za kijani na njano kama uhusiano wa Klabu ya Yanga na chama cha mapinduzi CCM pamoja na rangi nyekundu na nyeupe kama uhusiano kati ya Klabu ya Simba na chama cha CHADEMA. Kama hujui, please pita kando Naomba kuwasilisha mada!