CHADEMA mpaka huku?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mpaka huku??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edwin Chapa, Oct 6, 2012.

 1. E

  Edwin Chapa Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena ni kijana ana umri wa miaka 27 tu..nimeambiwa katika uchaguzi uliopita alishndana na Babu yake Mzaa mama ambaye alikuwa ni CCM
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  mbona hadi ndani ya familia ya Waziri wa ccm chadema imo, sembuse hapo mji kasoro bahari !!!!!!!!!!!!
   
Loading...