Amini msiamini wale walimu wa type ile ya mwalim wa Sarafina katika filamu ya "sarafina" wanaifanya kazi yao kwa umakini hapa Bongo. Tena wanatumia mbinu tofauti tofauti (methodology) kulingana na...
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Paulo Kasabago
Jeshi la Polisi limeendelea kuandamwa na matukio ya kuua raia baada ya askari wake wanne, akiwamo Mkuu wa Kituo (OCS) kukamatwa kwa tuhuma...
Great Thinkers,
Kwa mtizamo wa facebook na twitter, Dr Jakaya Kikwete ni maarufu zaidi kuliko Dr Wilbrod Slaa;
Facebook
Twitter
Total popularity
Dr Kikwete (President)
43, 724 likes
36,038...
Kwanza wafanyakazi wa UDSM wameanza kupokea mishahara ya mwezi uliopita tangu jana tarehe 4/10/2012 saa sita mchana. Wameanza wafanyakazi wenye akaunti katika benki ya Makabwela yaani 'National...
wadau nlipita mitaa hiyo mida ya saa kumi na mbili asubuhi pale blue fish kukawa kuna watu wengi sana pamoja na defender ya,police mwenye habari zaidi atujuze!!!!!
kiukweli leo nimeona kitu cha ajabu,nilikuwa nasikia lakin leo nimeshuhudia mwenyewe wanyamongo na wanyabhasi wanataka kupigana,ni panga nje nje na nina mshukuru mwenyez MUNGU tumepita salama...
Katika taarifa ya habari ya usiku wa leo 06/10/2012 saa mbili,CCTV NEWS imetumia zaidi ya dakika 10 kwa kuutangaza mlima kilimanjaro
shukrani kwa watangazaji wa CCTV bwana ERICK NJOKA aliyeweza...
Yule mtuhumiwa wa kutorosha wanyama 130 wakiwa hai na kusababisha WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTIKISIKA anaefahamika kwa jina la KAMRANI AHMED amekamatwa na noti bandia za kiasi cha sh.18...
Wana-Jf,
Naomba tu kuuliza kama mshahara umeingia tayari hasa kwa watumishi wa serikali kama waalimu wa pale UDSM, kwani kuna jamaa ni Lecturer na alichukua pesa yangu siku nyingi na kuahidi...
Mimi sikubahatika kuangalia kipindi hicho lakini hapa kazini kwangu kuna staff mwenzetu alikuwa amepangiwa kituo cha kazi Zanzibar kama driver yeye ni mtu wa bara. kutokana na kubaguliwa na...
Kwa kweli mji wa Dodoma unashangaza! pamoja na kwamba ni mkoa lakini pia ni makao makuu ya serikali; lakini ukifika Dodoma kwa sasa utapokelewa na stendi zinazo kudhihirishia kuwa Dodoma ni...
Just a few days after Kenya switched off
millions of fake handsets, the Tanzania
Communications Regulatory Authority
(TCRA) has said it is not in the position to
do so because it does not wish...
Wiki chache zilizopita nilirusha thread ya kuomba msaada wa ada ambayo ilipelea chuoni na kukwama kabisa kuipata. Katika kuhangaika kwangu niliona ni bora nije hapa JF kuomba msaada nikibahatisha...
Leo ni tarehe 5 na hakuna kinachoeleweka kuhusu mishahara ya wafanya kazi.Serikali kupitia raisi Kikwete ilitangaza kwamba ifikapo tarehe 26 ya kila mwezi wafanyakazi watakuwa wameshapata...
Wakuu toka wauza vocha kulalamika kuwa vocha ya mia tano haina faida na kutishia kutozhjumua na kuziuza kwa mtumiaji wa mwisho voda wamekaa chini na kuwazua kuja na vocha za shiling mia nne...
Habari zenu wanajf
naitaji mfadhili wa kuandaa kitabu changu kwani kuna mambo kadhaa sijamaliza nami naona peke yangu sitaweza hivyo waungwana naomba mnitafutie mfadhili wa kunifadhili shughuli...
Katika hali isiyo ya kawaida mchambuzi mashuhuri wa siasa bwana RENATUS MKINGA amekuja kwenye kipindi cha marumbano ya hoja kinachoendeshwa na kituo cha TV cha ITV akiwa amevalia nguo ya CCM...
Ni utafiti wangu binafsi.Hapa ni sehemu ya kwanza kuuwakilisha.Ni hivi:ujumbe mfupi wa maneno wa simu za viganjani almaarufu kama 'sms' kwa kiasi kikubwa unachangia kudumaza elimu Tanzania. Hii ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.