Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1) Inanisaidia kuficha maovu yangu na inanifanya kuwa juu ya sheria (Dr. K, Mwigulu) 2) Pindi nikifikishwa mahakamani, naitumia kupata dhamana then kushinda kesi (mwakalebela) 3) Rafiki yangu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Standi ya mabasi ya Mikoani imehamishiwa nje ya Mji Kilometa 8 kabla hujaingia Mjini tokea Morogoro eneo la Nzuguni NaneNane yalipokuwa Maonesho ya Kilimo ya Kitaifa kanda ya Kati Uwanja huu upo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hadija Jumanne na Deborah Ngajilo WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amesema wananchi wampe muda wa miezi sita ili aweze kukamilisha miundo mbinu katika sekta ya reli nchini. Dk...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa Uruguay Jose Mujica (77) ametajwa kuwa kiongozi maskini duniani. Rais huyo ambaye ni maarufu zaidi kwa jina la utani la "el presidente mas pobre" maana yake Rais maskini alichaguliwa machi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye yupo kwenye majadiliano na viongozi wa chadema kwa ajili ya kujiunga na chadema. Source Gazeti la Mwananchi la leo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah kweli Mdaharo ni Mkali na ndo Unaanza.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Mtafaruku umezuka Wilaya ya Bagamoyo baada ya watu wanaodhaniwa kuwa waumini wa dini ya Kiislamu wa msikiti wa Majani Mapana kuvamia makaburi ya kiislamu ya Tandika Kata ya Magomeni kwa lengo la...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
WanaJF naombeni msaada wenu.Rafiki yangu ameibiwa vitu mbalimbali jana usiku nyumbani kwake maeneo ya Kurasini hapa Dar.Katika vilivyoibwa kuna nyaraka muhimu kama birth certificates (yake na za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Mhandisi William Mhando Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Wakuu kuna harufu mbaya Sana katika Barabara ya Morocco kwenda Posta zaidi maeneo ya DSTV kwa mbele,UPanga, mpaka Surrender Bridge pale!. Kutokana na harufu ile hata sipendi hata kupita ile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Chris Cremence 100,000 2. Anonymous 500,000 3. Maggid Mjengwa 100,000 4. Raymond Kasoyaga 20,000 5.Edward Mgogo 10,000 6.Joachim Kiula 5,000 7.Libory Muhanga 5,000 8.Geofrey Kagaruki 10,000...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni...
5 Reactions
155 Replies
18K Views
ni juzi juzi tuu toka tulipo msikia waziri Mwakyembe na mipango ya kuzuia kuchimba dawa barabarani.... Nimebahatika leo kupita na kuingia kwenye public toilet ya mizani ya msata na kusikitishwa na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
KATIKA siku ya mwisho ya harambee ya kumchangia mjane wa marehemu Daud Mwangosi, Ndugu Zitto Kabwe amejitolea kumchangia mjane wa marehemu kwa kumlipia ada ya uanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi huwa mnajiuliza nadharia na hili neno WHY...WHY kwanini? hebu tumieni kamuda kadogo kutumia hii nadharia WHY kujiuliza....jiulizeni WHY? kuna watu kibao wamejiuliza Newton asked himself...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Habari wana jamii wenzangu eti naombeni kuuliza kuhusu ku-update akaunti za benki sanasana benki ya CRDB bado zoezi linaendelea au nifungue akaunti nyingine.Naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ninalitambua kuwa kila mji,jiji duniani kunatakiwa kuwa katika mandhari nzuri lakini wanakuwa wameshatoa vipa umbele na kinachobki nikutengeneza mji/jiji!! Nia yangu nikutaka kujua hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ajali iliyotokea ktk barabara ya Kilwa ya gari aina rav4, air bag vipi. Wanasema gari ilipinduka zaidi ya mara 3 lakini air bag haikutoka inakuwaje? Msaada p/z.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Je, ni rahisi kwa taasisi kubwa kama Tanapa kusahihisha written interview (yenye maswali 25) ya zaidi ya watu 800 kwa masaa ma 5 tu na kutoa matokeo kuwa watu 30 pekee ndo wamefaulu kuendelea na...
2 Reactions
43 Replies
10K Views
jamani badala ya Watanzania kuhamasishwa wapigie kura vivutio vya utalii viingizwe kwenye maajabu saba ya dunia ni afadhali tuipigie Tanzania kura iingie kwenye maajabu hayo kwani hatutatoka haba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom