Tanesco na ewura wandaa congamano kiingilio 2ooooo du!

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
kweli tanzania nayo ni moja ya majabu saba ya dunia kwa mara ya kwanza tanesco na ewura wana kongamano pale mlimani city na watu wakwenda kutoa maoni wanatakiwa kulipia laki mbili na ni siku moja tu¤
 
Ndio Hvyo wameweka kudiscourage watu!! Chezea tz wewe? Unafikiri kapuku mwenye njaa atakwenda?
 
Kwanini wasitumie zile wanazowalipia Ma Director GYM kucover hizo cost?Elimu kwa umma si ipo kwenye bajeti?au kwao elimu kwa umma ni wao kusafiri?:A S embarassed:
 
Tanzania ni nchi inayostahili kuingizwa kwenye maajabu saba ya dunia kulingana na vigezo vifuatavyo

1.Ni nchi ya kwanza barani afrika ambayo rais wake hajui umaskini wa nchi yake unasababishwa na nini
2.Ni nchi ya kwanza barani afrika kuuza nembo ya taifa lake (twiga) pamoja na urefu wake
3.Ni nchi inayoendeshwa kisanii zaidi barani afrika ukizingatia;a) Haimiliki ndege hata moja lakini ina viwanja na watumishi rukuki (b) Haina kiwanda hata kimoja lakini mali ghafi kibao kama korosho, kahawa, pamba nk.(c) Mashirika ya umma hakuna lililopo moja ndo mbwembwe kama hizo sasa, dahhhhh wino umeishaaaaaa!!!!!!!!!
 
hiyo ni harambee au kongamano ??! ni aibu kwa shirika kama hilo kufanya kongamano lenye kiingilio kikubwa
pasipo kufanya maendeleo yatakayo onekana ...

wana jf hivi hili kampuni lipo miaka mingi linafanya biashara na wananchi lakini halina tija hata kidogo
hamna uboreshaji wowote wenye kuleta maendeleo, ndio kwanza wanazidi kuwaibia wananchi kwa kuchonga mikataba
mibovu Mfano wa Iptl na Dowans... tena leo wanataka kuchukua fedha za watu kwa kigezo cha kutoa maoni..
sasa hayo maoni watu wanalipia ..... alafu ile gharama ya service charge ni pamoja kugharamia activity kama hizo

mimi naamini ikipigwa kura ya kutoamini utendaji wa kampuni hili... 80% ya wateja watasema hawana imani na kampuni na viongozi wake.
 
Kwanini wasitumie zile wanazowalipia Ma Director GYM kucover hizo cost?Elimu kwa umma si ipo kwenye bajeti?au kwao elimu kwa umma ni wao kusafiri?:A S embarassed:

kwakuwa serikali imeamua kutugawa katika madaraja cum matabaka ya utu, sasa kunakizazi kisichojua thamani ya pesa. Tazama thamani ya fedha in my own interpretation: tsh 200، 000 ni sawa na:
1. Air time anyopewa board member wa tanesco kwa wiki moja.

2. Ni sawa na mshahara wa mwalimu wa mwezi mmoja ( x 1. 3).

3. Extraduty aloowance ya wiki moja kwa afisa wa ewura anapotembelea vituo vya mafuta vilivyopo kwenye kata moja.

Kama wangejua thamani ya pesa yetu wasingeenda kukodi ukumbi wa mamilioni huku wakiwa na majumba kibao hapa jijini. Its sad kuwa serikali nayo haioni dosari yoyote juu ya hili.
 
Jamani juzi nilisema huu mtandao sasa unakusanya na kutumia wale wanofikiria kutumia masaburi, kwa Uzi huu imedhihirishwa unwell huu. Ewura hawana kitu kama hiyo na hata Tanesco hawajapeleka barua ewura maombi ya kitu Kama hicho. Kwa lifupi huu ni upumbavu mtupu nothing!
 
Nazani ewura wanakupa na lita mia mbili na tanesco wanakuingizia umeme bure yaani bila garama yeyote ile au kukupa luku za miezi saba la sivyo hawata kuwa sirious.
 
Kamkuki ivi wale wanyama na ndege ile kamati teule sijui wamefikia wapi?ivi wale twiga ndo basi tena.
wanakimbia vivuli vyao
 
Last edited by a moderator:
Jamani juzi nilisema huu mtandao sasa unakusanya na kutumia wale wanofikiria kutumia masaburi, kwa Uzi huu imedhihirishwa unwell huu. Ewura hawana kitu kama hiyo na hata Tanesco hawajapeleka barua ewura maombi ya kitu Kama hicho. Kwa lifupi huu ni upumbavu mtupu nothing!

híi habari nmeipata kuptia radio one
 
Dahh! Mungu wangu! Je nafasi yangu katika Taifa hili ni pipi?? Maskini hana haki....
 
Back
Top Bottom