VIGEZO: maajabu 7 ya dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIGEZO: maajabu 7 ya dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tisha-TOTO, Oct 5, 2012.

 1. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,164
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Wadau.

  It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list ya "7 Wonders of the World" wakati nchini kwetu kuna multitudes of other more exciting and intriguing wonders!

  Embu ongeza kwenye list yangu hapa chini kingine unachokiona kina-qualify kushindanishwa...

  1/Wahitimu primary school wanafaulu mtihani wa std 7 lakini hawajui kusoma na kuandika!!
  2/.....
  3/......

  Je ni vigezo gani hutumika?

  Tusaidiane wajameni.
   
 2. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila kweli! hlo...!
   
 3. a

  alph Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu yanatafutwa maajabu natural sio Kama hayo!!!! Ya design hiyo mbona mengi, hat a umasikini tulionao ukilinganisha na maliasili pia ni maajabu. Pigs kura tu Mzee


  ]Wadau.

  It doesn't make sense to me kwamba tunakazania kuuingiza mlima Kilimanjaro kwenye kinyang'anyiro cha kuingia list ya "7 Wonders of the World" wakati nchini kwetu kuna multitudes of other more exciting and intriguing wonders!

  Embu ongeza kwenye list yangu hapa chini kingine unachokiona kina-qualify kushindanishwa...

  1/Wahitimu primary school wanafaulu mtihani wa std 7 lakini hawajui kusoma na kuandika!!
  2/.....
  3/......

  Je ni vigezo gani hutumika?

  Tusaidiane wajameni.[/SIZE][/QUOTE]
   
 4. awp

  awp JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tatizo maswali yote hata hesabu ni mutiple choice, wale wenzetu huwa wanafumba na kuandika thus why la saba wanafaulu alafu hawajui kusoma
   
 5. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,884
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Tanzania yenyewe kama nchi ni ajabu la 8 duniani. Mambo yanayofanyika nchini hapa yanaifanya Tanzania ku-qualify kuwa a new wonder of the world bila hata kupigiwa kura
   
 6. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,164
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Ya 2. Mchungaji feki (Rwakatare) kujenga hekalu mahali alipokatazwa na serikali halafu serikali inamwachia tu kwa sababu haina ubavu kwake bali walalahoi.
   
 7. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 4,164
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  3. Kwa makusudi, serikali haitilii mkazo elimu yetu ya msingi kiasi kwamba wanafunzi wanaofaulu primary na secondary school hawajui kusoma wala kuandika ili viongozi waendelee kusomesha watoto wao ili nao baadaye waendelee kutuibia huku wakitundanganya nchi yetu ni masikini inabidi tufunge mikanda kwa kujinyima nasi tunakubali tena kwa furaha.
   
Loading...