Inasikitisha kuona watanzania tulio wengi tunaishia kulalama kila uchao kuhusu uozo wa viongozi wetu na maamuzi yao ya hovyo lakini tunashindwa kuchukua hatua stahiki.
My take:
Ni bora mtu...
masaa machache baada ya kamati ya nchimbi kuwasilisha rasm kwa umma wametakari na kuona ya kwamba ina mapungufu mengi.na kubain kasoro nyingi katka mapendekezo....
sasa ni miezi 3 web ya wizara ya afya hawaja update vile vile haijarusu watu kutoa maon yao kama zilivyo za wizara zingine nyeti hapa tanzania..kama ile ya mikopo www.olas.go.tz na nyingine...
JF, ninahisi MEDIA zimezibwa mdomo juu ya kutoa taarifa ya kinachoendelea huko tunduru, hata hivyo, nimedokezwa na mtu mmoja aliyekuwa Namtumbo kuwa kuna kampeni inaendelea kwenye nyumba za ibada...
Inasikitisha kuona mji mkuu wa tanzania hauna stendi kila pakikucha leo hapa kesho pale ni kero kubwa kwa wasafiri na wageni hususani wanaoingia mji huu mkuu wa tanzania lazima uwe na pesa ya tax...
University girl died after sleeping with a dog…Devil worship?
The Kenyan DAILY POSTFeatured Articles03:35
According to Gistpage.com…
Uche (her surname withheld) was an Accountancy...
Katika operesheni safisha jiji inayoendelea yakuwaondoa wamchinga leo maeneo ya stendi hali imebadilika pale mgambo walipojikuta wakipokea kichapo toka kwa wamachinga walikuwa wmejikusanya taruki...
Huwa ni shi ngapi? Mbona sijawahi kusikia mjumbe au mwenyekiti amejitoa baada ya kuona posho haitoshi?
Makubalino huwa yanafanywa muda gani kiasi kwamba kila tume itangazwapo kila mmoja huridhia...
Mara ya kwanza nilimsikia Sofia Simba akiimba hili tangazo ya Dunia yako.....nikaona huyu kwa hulka yake, linamfaa
Baadae nikamsikia Kingwendu....nikajua tangazo limekaa kisanii so nalo...
nawaombeni sana waandishi wa habari kulichukulia hili swala la kamati ya nchimbi kutaka kufunika ukweli
mlichukulie kwa uzito unaostahili lazima kuandamana na kulaani kauli ya kamati ya nchimbi...
kama miezi miwili hivi nilishuhudia hili tukio la gari kuzama(Angalia picha). Ilikuwa kama tunaangalia movie vile. Kilichonisikitisha ni kuona kwamba hata wale amabao tunategemea kwamba...
Skin condition ... Latif Khatana cannot get a job due to the flaps of flesh that hang over his face.A FATHER-to-be has spoken for the first time about living with NO FACE - and how hes terrified...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na hatarishi kwa usalama na utendaji kazi wa taifa letu kumekuwapo na influx kubwa ya raia wa nchi jirani kama wafanyakazi katika moja ya taasisi nyeti na kubwa...
Ajali Yaua Wawili Papohapo
Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni mwa barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo, baada ya...
Napenda kuwapongeza Tanesco songea kwa kuboresha huduma ya umeme mjini hapa kwa kipindi cha miezi minne mfululizo umeme si tatizo tena, hakuna mgao na kama kuna tatizo taarifa hutolewa na huwa...
Hivi inakuwaje wanaandika kitu ambacho hakipo na hata nashangaa wanapata wapi hizi habari za uongo ati Chadema vurugu tupu Mwanza ati Wenje kibaraka,Mashumbushi agoma na diwani atimkia CCm duuh...
Habari za asubuhi wadau,
Nipo Singida nimepanda Najmunisa naelekea Dar. Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.
Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.