Kamati yanchimbi haina uelekeo..wametoa kwa interest yao....

mzee wa magumashi

Senior Member
Oct 10, 2012
136
42
masaa machache baada ya kamati ya nchimbi kuwasilisha rasm kwa umma wametakari na kuona ya kwamba ina mapungufu mengi.na kubain kasoro nyingi katka mapendekezo....
 
Tumezoe kamati za harusi,misiba,send off party ili kufanikisha lengo fulani.Picha zimeonyesha mwangosi kapigwa bomu la machozi huku akiwa amezungukwa na ngunguri,eti unaunda kamati!! huu ni uwendawazimu.

Namuunga mkono Kainerugaba Msemakweli kuwa Dr.Nchimbi ni miongoni mwa mafisadi wa Elimu.
 
Back
Top Bottom