Kila cku najiuliza kuhusu mabank sipati jibu.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Hivi ni kwanini kwenye mabank hakuna vyoo vya wateja¿? Hebu fikiria upo kwenye foleni afu ukabanwa ghafla inakuwaje??
 
Mtu unapo enda benki kawaida haitakiwi ukae mda mrefu ndiyo maana hakuna vyoo, lakini mazingira ya Kiafrika vyoo ni muhimu maana kukaa benk zaidi ya lisaa limoja ni kitu cha kawaida kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom