Uzembe wa polisi ulisababisha uharibifu mkubwa uliosababishwa na waislamu waliovamia KKKT usharika wa Mbagala. Nasema haya kwa sababu polisi waliweza kudhibiti shambulio la kwanza la wavamizi hawa...
Wana jf kuna wakati kuliwekwa habari hapa kuwa kingamuzi cha itv na star tv kitaanza kufanya kazi septemba. Kuna mwenye habari wamefikia wapi maana ninaona kimya kingi. Na kwa mtindo huu tutaweza...
Kila siku tunalia ajali za barabarani zimezidi mno na zinamaliza watanzania wengi. Kuanza kwa mfumo wa leseni mpya za udereva kulilenga kupunguza ajali hizo. Mapema mwaka huu JK alipokuwa...
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili (ITV), rais ameahidi kuwa wote walioshiriki na hata kuwatuma watu kufanya vurugu na kusababisha kuharibu mali kwenye vurugu za mbagala watashughuliwa...
Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia, "huwezi kugundua kitu kipya sasa kwa sababu kila kitu kimeshavumbuliwa."
Huyu dogo wa Mbagala anastahili kuingia katika orodha ya wavumbuzi.
Kavumbua kuwa...
Ukituma hela kwa mpesa, kwenye process mwishoni unapewa msg ..."unatuma sh .... kwenda namba 075..... bonyeza i kuthibitisha au 2 kubatilisha. Nawashauri ili kupunguza adha za wateja kutuma hela...
Kwa siku za hivi karibuni pamezuka wizi wa kuaminika unaofanywa na company ya bima ya afya iitwayo AAR. Kwa wale wafanyakazi ambao wanatibiwa chini ya company hii kwa kutumia kadi za waajiri wao...
Jumuiya ya wanataaluma Waislam wa Tanzania wanetoa msaada wa vifaa vya tiba Kwa Hospital ya Muhimbili huko Dar es Salaam venye thamani ya shiling za Kitanzania MILLIONI mia moja katika maeneo ya...
Hongereni sana chama cha waalimu Kenya kwa kupata suluhu ya matatizo yaliyokuwa yanawakabili, na poleni saaana CWT kwa kupigwa danadana na viongozi mliosimamia uchaguzi wao na kuwapa ulaji. Ndugu...
Nilisubiri bikijua watu watawasahahihisha hawa mabwana lakini nahisi sasa wakati mkurugenzi wa clouds anaitaji nae kuwajibika kwa hili..una;pooona wazee waliotumikia taifa wanaitwa wapuuzi na wewe...
Kauli aliyoitoa Mkuu wa kaya leo kuwa YULE MTOTO KUKOJOLEA MSAAFU NI KOSA KUBWA SANA. hili ni kosa kama KIIMANI AU KISHERIA na kama ni kiimani then kwa KATIBA IPI maake kauli ya Mkuu wa nchi mara...
Habari za muda huu? Naomba unijuze kama nawezapata huduma ya FREE SMS ya kujiunga katika mtandao huo, mfano wa zile za 'xtreme' au 'tano' katika mtandao wa tiGO na ntajiungaje?
Nakushukuru sana.
Nimepita barabara ya dar-moro ajali ya lori la mafuta na gari kubwa la sogea satom ijengayo barabara ya songea nantumbo roli limebeba mtambo yote mawili yameteketea moto huku lori jingine la tatu...
Baadhi ya mambo ni ya kupuuzi sana kama hii siku ya leo watu wanaadhimisha siku ya unawaji mikono siku moja ya leo lakini kesho unakula bila ya kunawa kwanini tunaigiza maisha jamani watanzania BE...
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini kila siku tunalalamika?Maisha magumu ingali tunachagua kazi?Hii inasikitisha sana.Tanzania tunaraslimali nyingi lakini maisha magumu...jiulize na...
Naomba wahusika waangalie suala la mama ntilie waliojipanga nyerere road kuanzia jet kuja mjini kwani wanapika nje nje utafikili wapo nyumbani kwao hasa wkt wa asbh..kwa mm naona haipo sahihi...
Wadau, naombeni ushauri, mimi na wenzangu tulianzisha NGO ikasajiliwa mwaka 2007. Shughuli zake ni kusaidia jamii ya watanzania, walio ktk mazingira magumu na wanaoishi ktk umaskini...
Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere was the father of
southern African iberation, and
one of the founding fathers of the
Southern African Development
Community. Born in Butiama near
Lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.