Wasiwasi na kibonde kumtukana sumaye na mkama wapuuzi ni adabu hii kweli?/

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Nilisubiri bikijua watu watawasahahihisha hawa mabwana lakini nahisi sasa wakati mkurugenzi wa clouds anaitaji nae kuwajibika kwa hili..una;pooona wazee waliotumikia taifa wanaitwa wapuuzi na wewe kama mkurgenzi umekaa kimya unaonekana nawe the same

majuzi kipindi cha jhazi mtangazaji mmoja anaitwa wasiwasi waliongelea sana kuhusu hotuba ya sumaye na baadae kibonde akajazia wakati wa hitimisho akasema mi nahisi sasa huu nni upuu zi mtupu atutaruhusu viongozi kukimbilia kwenye press kisa kumjibu mtu siasa upuuzi mtupu...nilipoona nae ni mpuuzi pale aliposema unajua nilikuwa mwalikwa nikatsema kumbe nae ni mpuuzi

sasa tusifike huko si vyema kutukana viongozi wapuuzi kwa kuwaumepewa madarka ..unaweza taja ma bibi zako ukawapa hbday na mengineyo lakini si kutukna wazee kama hivi

naamini uongozi wa clouds utalifwatilia hili na kama wakipenda wanaweza unda tume kama ya mh waziri waje na hitimisho wanafuta kipindi ama wanawawajibisha wahusika
 
Umehongwa na huyo sumaye ili umtetee? Upuuzi ni upuuzi tu haijalishi umri wa mtu awe mtoto, kijana au mzee, kama ni mpuuzi tutamwita mpuuzi tu!
 
jamani huyo kibonde mpotezeeni tu hana jipya ni wa kuhurumiwa hajui alitendalo. si mchezo kutumia dawa feki.
 
Ni kwel sio lugha stahiki, hasa kwa mtangazaji hata kama kiongoz ama raia wa kawaida ametenda jambo analodhan ni la kipuuz, kaz yake ni kuwapa watu habar na sio kukashifu ama kutukana. Umenena vzr, uongoz uilinde hadh ya Radio yao, hivyo sio vitu vya kupuuza, hasa kwa huyo Kibonde mana ameanza muda mrefu kuitumia Radio clouz kwa maslah yake binafs na wanaomtuma.
 
Ndugu zangu wana-JF taaluma hizi zimevamiwa sana. Mathalani, sitegemei mwandishi wa habari au mtangazaji aliyehitimu aingie kwenye chombo ka radio atangaze uchafu ka huo unasemwa na mleta uzi huu. Kwa wajanja wanaopenda kutuka indirectly hufanya uchambuzi wa kina...kisha wasomaji, watazamaji au wasikilizaji huja kufanya kutambua kwamba taasisi au mtu fulani kavuliwa nguo hadharani. Lakini si kama hivyo anavyofanya huyo bwana wa clouds. Uongozi wa Radio Clouds Media ujue ya kwamba those two ''male monkeys'' are spoiling their institution dearly..That is my view
After all, Clouds ni chombo cha starehe ya vijana.. si radio ambayo watu wenye kutafauta habari za uhakika wata-tune on...HAMNA KITU..mztusi na mambo ya khanga ndembendembe ................ ...Ni matunda ya Tanzania tuliyo nayo
 
Mwacheni tu Kibonde, ndio maana aliitwa kibonde
 
Nilisubiri bikijua watu watawasahahihisha hawa mabwana lakini nahisi sasa wakati mkurugenzi wa clouds anaitaji nae kuwajibika kwa hili..una;pooona wazee waliotumikia taifa wanaitwa wapuuzi na wewe kama mkurgenzi umekaa kimya unaonekana nawe the same

majuzi kipindi cha jhazi mtangazaji mmoja anaitwa wasiwasi waliongelea sana kuhusu hotuba ya sumaye na baadae kibonde akajazia wakati wa hitimisho akasema mi nahisi sasa huu nni upuu zi mtupu atutaruhusu viongozi kukimbilia kwenye press kisa kumjibu mtu siasa upuuzi mtupu...nilipoona nae ni mpuuzi pale aliposema unajua nilikuwa mwalikwa nikatsema kumbe nae ni mpuuzi

sasa tusifike huko si vyema kutukana viongozi wapuuzi kwa kuwaumepewa madarka ..unaweza taja ma bibi zako ukawapa hbday na mengineyo lakini si kutukna wazee kama hivi

naamini uongozi wa clouds utalifwatilia hili na kama wakipenda wanaweza unda tume kama ya mh waziri waje na hitimisho wanafuta kipindi ama wanawawajibisha wahusika
Mbona mnakashifu Kikwete humu jamvini tena kwa hamasa na dharau kubwa hamsemi kitu.
wacheni unafiki .
aidha tutumie vigezo sawa kwa wote au acheni tuendelee hivihivi.
 
Mbona mnakashifu Kikwete humu jamvini tena kwa hamasa na dharau kubwa hamsemi kitu.
wacheni unafiki .
aidha tutumie vigezo sawa kwa wote au acheni tuendelee hivihivi.

mkuu umenena member wengi humu JF hasa waha dot.com ni bendera fata upepo wamekaa Kishabikishabiki tu
 
Kibonde, Le Mutuz,NAPE,yule mbunge wa iramba,yule alimchachafya WASHWAWASHWA bungeni,nani vile?nimesahau.na MZEE LUSINDE.
These guys are the worst chadema's fans nightmare.i dont know why?.
You can wakeup in the middle of night and fi nd guys talking about,kibonde,nape,li mutuz.
 
Waandishi wa habari wanatupiwa ukuu wa wilaya sana, acha na yeye ajitume labda atakumbukwa mwishone! Kujipendekeza kwa serikali ni gharama sana hasa hii ya ccm
 
Waandishi wa habari wanatupiwa ukuu wa wilaya sana, acha na yeye ajitume labda atakumbukwa mwishone! Kujipendekeza kwa serikali ni gharama sana hasa hii ya ccm

Thibitisha taaluma yake kwa kujibu maswali yafuatayo

  1. Kibonde ni mwandishi wa habari?
  2. Mhitimu wa chuo gani?
  3. Ngazi ya cheti, diploma au digrii?

Sioni maadili ya ki-uandishi kwa mtu huyu, kwangu ni sawa na mc wa harusi tu.
 
Mhitimu wa chuo gani?
FAMILIA YAKE IKIKUSIKIA ITAKUTUKANA NA HILI SWALI
 
Thibitisha yake kwa kujibu maswali yafuatayo

  1. Kibonde ni mwandishi wa habari?
  2. Mhitimu wa chuo gani?
  3. Ngazi ya cheti, diploma au digrii?
Sioni maadili ya ki-uandishi kwa mtu huyu, kwangu ni sawa na mc wa harusi tu.

Hana hivyo vyote, ndio maana anawaletea shida.Angekuwa anavyo wala asingeletwa kwenye huu uzi! ila nakufahamisha tuu kwamba kupata cheo kwa serikali ya JK ni kujikomba kwako tuu kwa watawala na wala si uwezo au elimu.Mifano natumaini unayo.
 
Wakuhurumiwa huyu kuna v2 vinanyevuanyevua kwenye mwili wake
That is hitting below the belt.
How do we know yr status??????
kama nyinyi mnaweza kuongea utumbo humu jamvini kwa kwa nini yeye asitumie radio?????
 
That is hitting below the belt.
How do we know yr status??????
kama nyinyi mnaweza kuongea utumbo humu jamvini kwa kwa nini yeye asitumie radio?????
Umenena Mkuu
Waongeza hao.
Leteni mada za maana Jamvini na za maendeleo sio kuleta mada za kupigana vijembe kama waimba Taarab
nakufanya wachangia mada kuonekana hawana akili.
 
Nadhani ifike mahali tujifunze kutumia lugha ya staha,sioni sababu kama Kibonde na Wasi wamekosea lugha wakajibiwa au kusemwa kwa lugha chafu pia.Mtu akifanya kosa huwezi ukajustify kwa kufanya nawe makosa.
Kwa mtazamo wangu mleta mada ana kitu amekifutika chini ya busati,kwa nijuavyo Kibonde ni mtu mwenye zero tolerance na mambo yasiyo na tija.Ukimsikiliza sana utagundua havumilii ujinga.Call a spade,a spade, and not a big spoon!Ukitaka kutokuwa mnafiki you have to cross all t's and dot all i's.! Hivyo ndivyo alivyo Kibonde,na sioni tatizo mtu kuwa na zero tolerance.Tumefika hapa tulipo watanzania kwa sababu ya hypocritical tolerance yetu.Mtu akiharibu unamvungia.
 
Back
Top Bottom