Kila mtu analalamika

Zuwely salufu

Senior Member
Oct 7, 2012
105
20
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini kila siku tunalalamika?Maisha magumu ingali tunachagua kazi?Hii inasikitisha sana.Tanzania tunaraslimali nyingi lakini maisha magumu...jiulize na utafakari...lakini utabaini tatizo ni uwajibikaji.Tumekosa uwajibikaji katika maeneo yetu ya kazi lakini uvivu wa kufikiri nini chakufanya katika eneo ulilopo.Jiulize nchi zilizoendelea kama MAREKANI, UJERUMANI, UFARANSA N.K hawana raslimali kama tulizo nazo lakini mbona wako juu kwanini utagundua wao waliacha kulamika wakachukua hatua ya kuwajibika kimaamuzi na kiutendaji ktk maeneo husika.So tuchukue hatua na tuache kulalamika kwani tunapolalamika wahusika wanaolalamikiwa wanazidi kuchuma raslimali za nchi yetu na kutokomea nazo,siwameshajua kuwa sisi ni watu wa kulalamika bila kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom