Vodacom waboreshe zaidi katika hili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom waboreshe zaidi katika hili...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tuko, Oct 15, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Ukituma hela kwa mpesa, kwenye process mwishoni unapewa msg ..."unatuma sh .... kwenda namba 075..... bonyeza i kuthibitisha au 2 kubatilisha. Nawashauri ili kupunguza adha za wateja kutuma hela kimakosa, ...kwenda namba... wabadilishe wafanye ...kwenda kwa ....(wataje jina la mwenye simu), kama ilivyo tigo. itawawezesha wateja kuhakiki kama wanatuma kwa mlengwa

  Asante
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa naunga mkono hoja.
   
 3. T

  TIBE Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakuunga mkono pia
   
Loading...