Wapendwa wa nachadema ninaomba ikiwezekana tuwaombe viongozi wetu wa cdm wajipange kuanzisha kituo cha television.kituo chenyewe kitatumika kujitangaza sababu tv ya taifa inabagua,, nawakilisha je...
Tanzaniatokea uhuru haijawahi kushuhudia uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi wa marakwa mara kama awamu hii ya Rais JakayaKikwete. tunakiri hili kwani kwa umri wa baadhi yetu, marais wote wa...
Katika historia ya Tanzania na Africa Mashariki tunakumbuka Ukristo uliingia kabla ya ukoloni enzi za akina Vasco Da Gama mfanya biashara kutoka ureno aliefika Tanganyika na Kenya. Huyu jamaa na...
Oktoba 12 mwaka huu, matukio mabaya na yenye kutia doa sifa ya amani umoja na Utengemano wa Taifa la Tanzania, yalijitokeza huko Mbagala Jijini Dar es Salaam, wakati watu wenye jazba wanaoaminika...
Nimefuatilia kwa muda mrefu hawa jamaa wa Nabaki Afrika na kugundua kuwa wanatumia ujanja ujanja katika biashara zao.
Pale GAME Mlimani city kwenye shelf la vifaa vya kuogelea, hasa madawa...
Hakika kuna kila sababu ya kukipongeza kituo cha televisheni cha Star Tv kwa ubunifu wao wa kufikisha ujumbe husika kwa kutumia katuni ya wanamuziki. Kwanza walianza na Baba nipe pesa watoto...
Katika maongezi yangu na watu na usomaji wangu juu ya kifo cha RPC Mwanza, nimeshituka kugundua kwamba Watanzania wengi hatuguswi sana na kifo cha huyu RPC, na wengine hata kudai ingekuwa ni RPC...
Habari wanajf. Kumekuwa na utamaduni wa kupiga muziki mkubwa kwenye misiba sehemu nyingi mijini na vijijini, ikitokea msiba wafiwa wanataka muziki ukodishwe ili wakeshe. Je huu utamaduni niwetu na...
Mansa Musa I, the richest person in history, had a personal net worth of $400billion at the time of his death in 1331.Born in 1280, he ruled West Africa's Malian Empire which covered modern day...
Wana jf mwenye kufahamu . Nimeagiza gari ndogo saloon toyota camry ya mwaka 2003 . Yenye cc 1500 . Na nimeinunua kutoka japani kwa bei ya dola 1500. Na je katika ushuru wanatumia vigezo gani. Na...
Does it mean that safety & rule of law, Rule of Law, Accountability, National security, Participation & Human rights, participation, Gender, Public management, Business environment and welfare...
Mum screams for help as blaze kills her and four of her kids
Victims ... from left, Hira, Sohaib, mum Sabah, Rayan and Muneeb were killed. Maheen, blurred, is critical
By ANTHONY FRANCE, Crime...
Muswada wa fao la kujitoa wawasilishwa
Na Mwandishi wetu
16th October 2012
Mbunge wa Ubungo ( Chadema), John Mnyika
Mbunge wa Ubungo ( Chadema), John Mnyika, amewasilisha kwa...
Jumatatu iliyopita alivamiwa na kundi la watu na kumpa kipigo kikali na kufariki dunia jana [walitaka mnyanganya vitu so wakabishana ndipo walipompiga mpk kuwa hoi na kulazwa MOI last week na...
Kama kawaida yangu napenda thread zangu zijikite sana katika kutengeneza Tanzania yenye weredi. Katika thread hii naomba tuchangie hili la ajira za hapa nchini. Mara nyingi kumekuwepo na maelezo...
Ni katika ajali iliyo tokea maeneo ya kinondoni baada ya gari ndogo ya jeshi kugongana uso kwa uso na daladala. Kwa upande wa daladala haijajulikana madhara. Mungu awajalie afya njema wote walio...
habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
Nimekaa na kuiangalia picha hii kasha nikaanza kutafari juu ya siasa za uhasama hapa kwetu, mwisho nikaanza kucheka peke yangu. Leo wanasiasa wa kibongo wanachukiana kama paka na panya, kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.