Wakuu habari za usiku?
Kuna habari kutoka SUA zinansema wale vijana waliochaguliwa kozi ya Bsc Agricutural Education leo wamebadilishiwa kozi. Wameambiwa wasome Bsc Education (Agriculture and...
Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho...
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO...
Habar wana jf, jana jion nilikuwa kwnye misa kanisa la chang'ombe tmk,padre aliyeendesha hyo misa alisema kuwa ameckitishwa sana na kifo cha RPC wa mwanza,kwan anamjua walisoma nae seminary na ni...
Nimejiunga na huduma hii kwa shs. 17,500. Pesa wamekata lakini huduma sijapata licha ya kupata ujumbe toka airtel ukiagiza nitoe battery na kuiweka tena ndo ntapata huduma. Nimefanya hivyo lakini...
timu ya tume ya mabadiliko ya katiba, inatarajiwa kufanya jumla ya mikutano 56, katika kata zipatazo 60, ikiwemo mkutano mmoja katika kila kata 10 za wilaya za mkoa wa mtwara.
akitoa...
Huu ni mtazamo wangu tuu serikali ilikuwa ianze kutumia au kununua gari za bei nafuu kwa watumishi wake wa ngazi za juu. Sasa leo katika pitapita zangu posta nimeshangaa sana kuyaona ma v8 mengi...
Nimekutana na hii habari BBC kuhusiana na fast lanes za mabasi yaendayo kasi. Tayari huko India controversy imeanza kutokea. Je hapa kwetu tumejiandaa? Nawasilisha.
By Rajesh Joshi BBC Hindi...
Ndugu zanguni, najiuliza hili swali nanyi naomba mnisaidie jibu. Iweje kitendo ambacho kinatafsiriwa na wengi wa waislamu wapenda AMANI kuwa ni cha kihuni kinapongezwa na Radio Imaan na wafuasi wa...
Mtanzania mimi nina umri wa kutosha lakini hawa wanyama pori nawaona katika TV, na kusikia pembe zao zimekamatwa sehemu mbali mbali duniani, nimeona wanyama wakivuka mpaka kwenda nchi jirani...
Kwa muda wa siku mbili sasa nimekua nikikutana na maji yanayokaribia kwisha muda wake ama muda wake wa kutumika kuwa umekwisha kabisa.Leo nimenunua maji ambayo muda wake wa kutumika uliisha tangu...
Katika hotuba yake huko Shinyanga wakati wa kuzima mwenge, J.K pamoja na mambo mengine aliwawosia Watanzania kuwa na subira katika kuchukua maamuzi. Alisema ya kuwa siyo jambo la busara kuchua...
Kweli nimeamini kwa nini mungu wetu yesu umeitwa mfalme wa amani...sasa naweza kupinga wewe sio nabii issa.na bila shaka wanafanya makosa kukutambua kwa jina hila.
Nakupenda yesu wetu kwa kuwa...
Suzy Butondo, Shinyanga, MWANANCHI
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa kuna wakati aliwahi kufikiria kuwanyonga watu waliokuwa wakikamatwa kwa kuhusika na mauaji ya albino yalipokuwa yamepamba...
Hebu tujikumbushe walivyofanywa Waumini wa dini ya kikristo wanaosali Efatha, halafu tulinganishe suala hili lingeweza kufanyika kwa namna hii iwapo waumini hawa wangekuwa ni Waislam????
Ifike...
Tanzania loses 30 elephants to poaching every day, a shocking 10,000 every year, the government says the situation cannot effectively reverse for lack of resources.
The countrys elephant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.