Wavumbuzi wa karne hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavumbuzi wa karne hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crucifix, Oct 15, 2012.

 1. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia, "huwezi kugundua kitu kipya sasa kwa sababu kila kitu kimeshavumbuliwa."

  Huyu dogo wa Mbagala anastahili kuingia katika orodha ya wavumbuzi.

  Kavumbua kuwa, kuishushia kuran kinyesi hakumgeuzi mtu kuwa nyoka, panya wala mende.

  Hii itasaidia sana katika kupunguza hofu miongoni mwa watoto wa kiislamu ambao wamekuwa wakitishwa sana na kuiona kuran kama hirizi fulani hivi.
   
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Mambo mengine tunaambiwa tu katika kututisha, ila ni lugha ya kusema sio ustaarabu kufanya hivi.

  mfano nlipokuwa mtoto, wakati tuko kijijini, bibi yangu alikuwa akituaminisha kuwa ukikalia figa la jiko, basi makalio yataota majipu, auukipiga mluzi usiku unaita nyoka. Na tulikuwa tunaamini hivyo.
  Ila ile ni lugha ya kukutisha katika kufikisha ujumbe kuwa kukalia sehemu ya kupikia si ustaarabu wala busara.

  Quran ni kitabu cha maandiko matakatifu, kimechapwa kama vitabu vengine, kimetumia karakasi kama vitabu vengine, sasa kusema kukojolea hicho kitabu utajeuka panya/mbwa ni katika kutisha tu watu na kufikisha ujumbe kuwa si ustaarabu kufanyia hivyo kitabu chenye maandiko matakatifu.
   
 3. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yaonesha zamani kilikuwa kinakojolewa sana hadi ikawalazimu kubuni kitisho hicho, imekula kwao
   
Loading...