Leo siku ya unawaji mikono duniani ina maana gani kunawa siku moja tuu ya maadhimisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo siku ya unawaji mikono duniani ina maana gani kunawa siku moja tuu ya maadhimisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alagwa, Oct 15, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Baadhi ya mambo ni ya kupuuzi sana kama hii siku ya leo watu wanaadhimisha siku ya unawaji mikono siku moja ya leo lakini kesho unakula bila ya kunawa kwanini tunaigiza maisha jamani watanzania BE REAL KAMA HAUNAWAGI MIKONO LEO ACHA KUIGIZA ENDELEA TUU ALAFU YAKIKUPATA TUTAKUZIKA TUU
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utasikia mamilioni yametumika hapo. Wazungu hao mkuu
   
Loading...