mama ntilie nyerere road | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama ntilie nyerere road

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by julisa, Feb 15, 2012.

 1. j

  julisa JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomba wahusika waangalie suala la mama ntilie waliojipanga nyerere road kuanzia jet kuja mjini kwani wanapika nje nje utafikili wapo nyumbani kwao hasa wkt wa asbh..kwa mm naona haipo sahihi kwani hii ni njia muhimu na inaharibu image ya mji labda jiji liwajengee vibanda vya standard nzuri..
   
 2. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nimepita jana nikitokea Mwanza na 540...its true mkuu,tena wameweka Mafiga,kuni za mbao...afu wanatupia uchafu ktk ile mitalo n.k!very unpleasent image!nilichukua picha....ntaweka badae kidogo
   
 3. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  Mkuu ni kweli kabisa! Mara ya kwanza kuwaona nilidhani watu wamekosa makazi ndo wameweka kambi hapo!!!!!! kweli utaratibu ufanywe ili kurekebisha situation!
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Life tight nyi mnataka wakale wapi sasa! Image ya nini? Hili li nji halina image wala ni ni wangeboresha maisha ya watz ndo wawapge marufuku kufanya biashara hizo! Acheni kabisa maisha ni hatari kwa sasa,
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wawawekee mazingira mazuri ya biashara kuliko ilivyo hivi sasa!
   
 6. j

  julisa JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa nn wasipikie makwao hlf wakapeleka pale wawauzie wateja wao..usafi wa mazingira hauhitaji hali ya maisha
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Waache wanajiongezea kipato uzuri huduma zao ni bora mi huwa napita pale kupata maharage na chapati zangu mbili na kikombe cha uji mbona mchana unapita free.
   
 8. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Binafis napenda chakula kinapopikiwa nipaone!hayo mambo ya kupikia makwao siyo inshu
   
 9. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwan 2mekuuliza kama umepanda ndege.
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Haya bwana tumesha jua ulipanda ndege.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  afadhali useme hivi sababu ukichunguza sana maisha hayakamatiki sijui ukimfukuza pale unatarajia aende wapi elimu hana
  msingi mdogo
  mafisadi wamechukua kile kidogo chetu,
  acha tu,!
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  heee kusafirisha huo ubwabwa mpaka ufike pale ni ishu! Kwanza huko kwenye daladala atasimangwa na kindoo chake hatapata usafiri kwa wakati mpaka huo ubwabwa uwe ndaza ! Bora wawajengee na kuwatengezea mazngra mazuri ili kuwasaidia!!! Pole kwa safari toka huko ,vipi huduma za 540 ziko bomba?
   
 13. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280

  Dada Yangu,
  Kusafirisha chakula si ishu kubwa, mbona huwa tunapanda na ndoo za samaki toka feri hadi makwetu huko uswazi? Hapa kama wangekubali ushauri basi wapike chakula huko kwao, then wasafirishe na kuja kuuza maeneo hayo ambapo kuna wateja wao. Wasipikie hapo kando ya mitaro
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  ok lakini ni mtazamo wangu natumia sana daladala ni usumbufu sna kupanda na mzigi kwenye daladala haswa asubuhi na mchana fanya uchunguzi mi sina tatizo na hayo mnayosema ila serekali ingeangalia namna ya kuwapa taf mwaweje sana
   
 15. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  kwako cha ajabu nin?ulitaka nisemeje?
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mama lishe wanapika kama vile wapo kwao, na wateja wao wanakula kama vile wapo kwao !!
   
 17. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  vp habari za Lusaka?nasikia mmepewa madolar ya kufa mtu!tugawiane
   
 18. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  JF bwana mtu hawezi kuchangia bila kujipaisha kidogo.
  wabongo tunapenda sifa kuliko kazi
   
 19. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huku ni furaha tupu, wachezaji tumelamba $ 59,000 kila mmoja, ambayo ni sawa na Shilingi million 92 za huko kwenu Bongo. Pombe imeadimika kabisa, mashabiki wamekunywa hadi pombe zimeisha (nadhani unaujua unywaji wetu, kreti lazima iwe chini ya kitanda halafu unavuta moja moja!). Hizo million 92 kwa kila mchezaji ni kutoka serikalini, bado taasisi na watu binafsi waliofurahishwa kama Azim Dewji, mbongo mwenzenu, naye amemwaga million 22 kwa timu nzima! Mimi Sinkala na nahodha wetu Chris Katongo ni wanajeshi, tumepandishwa vyeo, mimi nimekuwa Sergeant kutoka koplo, na mwenzangu Katongo amekuwa Warrant Officer I kutoka Warrant Officer II. FIFA ranking tumekuwa wa 43, na tumepanda nafasi 28 ukilinganisha na kabla ya AFCON. Ni raha tupu.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa mmegonga ikulu mweee...eeeeh halima wangu weeee wali maharage na kachumbali kwa 1,200/= na miskhaki 3 kwa seve...hahaaaa
   
Loading...