Nafuatilia kwa umakini sana.
Sawa dada yangu,fuatilia kwa makini ili baadae uje utujuze yaliyojili
Hii redio ifungiwe mara moja inaleta uchochezi wa kidini.Dr mukangara umeonyesha udhaifu kama dhaifu aliyekuteua kuwa waziri wa habari.Elimu yako haijakukomboa,wewe ni mganga njaa na PHD yako ya "DC Gambo"
Sina muda kusikiliza redio ya wafu.Umelazimishwa kusikiliza mbona redio zipo kibao tu?
Sina muda kusikiliza redio ya wafu.
Sasa walalamika kama wataka kuzaa nini? Kama huna muda wa kusikiliza iyo redio ya wafu kasikilize wa wahai!
wewe ni mburula uliyevurugwa!
Nyie mnavurugwa na vitu vidogo vidogo kama ubwabwa,pilau!Wewe ndo umevurugwa unalalamika nini sasa wakati redio haikuhusu.Mijitu mingine Kama wanga vile.