Kama unataka kudanganya na kupotosha uma, basi ni afadhali hata utumie akili japo kidogo, si kama alivyojidhihirisha huyu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, kwa kile alichokisema...
...ni dhahili kwamba nchi za Afrika na hasa Tanzania zinaendelea kuwa nyuma kimaendeleo ya kiuchumi kutokana na uongozi mbaya/mbovu. Hii imepelekea rushwa, ufisadi na uwajibikaji duni kutawala...
Wanajamvi leo naomba nia post hili hapa kwenye general forum ila nimeumia sana nafsini na siriaz najiuliza nini hatima ya hii nchi ama ya tunakoelekea? naomba ni nunukuu huu ujumbe kisha wewe utoe...
Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali...
Siasa za nchi yetu bana kama betri za mchina vile, huwezi jua ipi feki na ipi orijino.
Utaona simu iko 'low battery' lakini inadunda hata siku mbili bila kuzima, nyingine iko 'full charge', na...
I think we shouldn't focus much on the symptoms but let's find the root cause. In any society if people respect each other then the society will remain peaceful. But if one group thinks is...
Kama bodi hii iliundwa kwa ajili ya kuwafanya watoto wa walala hoi waweze kuendelea na elimu ya juu lakini watoto hawahawa ndo wananyimwa mikopo mfano wanafunzi kadhaa wamenyimwa mkopo mara 2...
Wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma waliopandishwa vyeo kuanzia julai 2010 na kuendelea hawajalipwa nyongeza za miaka hiyo. Serikali ijitahidi kuwajibika kwa wananchi wake kama kweli lengo ni...
kuna tatizo kwa wazazi/walezi wenye watoto ambao wanasoma baadhi ya shule za bweni.
Nina ndugu yangu yuko shule ya msingi mkoani morogoro std 3
katika hali ya kustaajabisha yeye na mwenzake...
Imagine una oga kwenye bafu la passport size akaja mtoto akachukua nguo zako pamoja na taulo,ukatoka nje uchi wa mnyama ukaanza kumkimbiza,nani ataonekana chizi?? Hii scenario inafanana na sakata...
Nimestushwa na kusikitishwa na mauaji ya RPC wa Mwanza. Nikaanza tafakuri ......
Hivi kwanini wamwue? Wanadamu upendo umeenda wapi?.........
Kama ilibidi RPC mmoja aondoke kwanini asiwe...

TAARIFA kutoka mkoani Iringa ambazo zimeufikia mtandao huu wawww.francisgodwin.blogspot.com asubuhi hii zinadai kuwa aliyekuwa mweka hazina wa chama cha waandishi wa habari...
Nimeonelea kuifanya hii ili kumuenzi ikiwa leo ni kumbukumbu ya kifo chake.
"No nation has the right to make decision for another nation,no people for another people".Jk Nyerere for his peace...
Wakati tukiazimisha miaka 13 ya KIFO CHA mwalimu mimi niliamua kumuenzi kwa kwa kwenda kupumzika MAKABURINI.
Najua wengi watanishangaa na kujiuliza maswali mengi, na wengine wanaweza niona kama...
Habari za wakati huu ndugu watanzania wenzangu. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa na lundo la maswali ninayoishia kujiuliza mwenyewe na kukosa majibu sahihi. Hivi kwa nini hawa watanzania wenzetu (japo...
Hii zambi ya udini ilipandikizwa na watawala wakati wa kampeni its time to wipemit out kama kweli twataka muenzi mwalimu after his death 13 years ago
Wakristo kuna wakati watachoka, maana...
miaka kadhaa ijayo, watoto wengi watakuwa legelege kwa sababu watakuwa wanacheza zaidi na kompyuta(games, facebook, etc) kuliko kucheza kombolela, mpira, kukimbizana n.k. Hii itafanya kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.