Tunaweza kuuza ngo iliyosajiliwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaweza kuuza ngo iliyosajiliwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IPILIMO, Oct 14, 2012.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Wadau, naombeni ushauri, mimi na wenzangu tulianzisha NGO ikasajiliwa mwaka 2007. Shughuli zake ni kusaidia jamii ya watanzania, walio ktk mazingira magumu na wanaoishi ktk umaskini uliokithiri-kwa kutumia program za KILIMO NA ELIMU ili kwakomboa beneficiries hao. Ina CHETI CHA USAJILI. Waanzilishi tulianza kuifanyia kazi mwaka 2007-2009 kwa miradi midogomidogo ya kielimu na kilimo; chalinze na dsm. Bahati mbaya tukapotea kwenye sekta hiyo kutokana na sababu za kimasomo na zinginezo. Sasa muda wa kuindeleza NGO hii ni kama hakuna, haijafa, to resume kazi zake inahitajika watu kuandaa strategic plan, Katiba ipo, though may need some amendments. Hatukupata donors kipindi kile, tulimobilise resources from friends! Kwa wanaotaka NGO hii, kazi yao itakuwa ni kutafuta ofisi tu mahali popote TZ bara, kuandaa strategic plan, kuandaa fundraising programmes na kuandaa minutes za kubadili majina ya bodi ya wakurugenzi, ambao sisi tulikuwa WA4 tu. Sasa nifanyeje?
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Ingawa kichwa cha uzi hakifanani na maelezo,huwezi kuuza NGO,kwa sababu it is a non profit organisation.
   
 3. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,860
  Likes Received: 2,784
  Trophy Points: 280
  Eeh hii nayo kali. Biashara ya NGO? Ndo nimeisikia kwako jomba. Shida yetu wa-TZ tumekalia kutegemea ajira za serikali, ubunifu sifuri! Mmeshindwa nini kuiendeleza hiyo NGO na ikawa ajira yenu? Kama bado mko masomoni iacheni mpaka mmalize ili muiendeleze. Shida yenu ni kutaka fedha ya haraka haraka!
   
Loading...