Wote alioshiriki na kusababisha vurugu za mbagala kukiona.

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili (ITV), rais ameahidi kuwa wote walioshiriki na hata kuwatuma watu kufanya vurugu na kusababisha kuharibu mali kwenye vurugu za mbagala watashughuliwa:

MYTAKE: Je; na yule mtoto aliye-MTHUBUTISHA mwenzie nae atashughulikiwa?, maana nasikia kikojozi atafikishwa mahakamani kesho.
 
Mwambie amkamate Sheikh Ponda kwanza,au akavue Gamba ndio ataweza ku deal na ishu ya dhaifu wenzake!
 
Kama unaongelea hotuba aliyoitoa Shinyangj basi umenoa.
Hakutumia lugha yoyote ya msisitizo, na hakuwa serious hata chembe.

Jambo aliloonyesha kuguswa nalo na kuongea kwa ukali ni pale aliposema..."hata kama ni kijana mdogo, kukojolea kuruani ni kosa kubwa sana"!
 
Katika yote, pamoja na hasara iliyotokea na mengineyo, waislam watambue kuwa kama Wakristo tumewasamehe na tunajisikia kuwa na nguvu kuwaombea Jehovah Mungu tunaemwabudu Wakristo awasamehe na kuwafungua fahamu zao na kuijua kweli itakayowaweka huru.
Hatuna na hatutataka kisasi, kwani kisasi ni kwa Bwana.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, utawala huu upo ktk kufanya kazi ya kuinenepesha Boko Haramu ya Tanzania.
 
Kama unaongelea hotuba aliyoitoa Shinyangj basi umenoa.
Hakutumia lugha yoyote ya msisitizo, na hakuwa serious hata chembe.

Jambo aliloonyesha kuguswa nalo na kuongea kwa ukali ni pale aliposema..."hata kama ni kijana mdogo, kukojolea kuruani ni kosa kubwa sana"!

kwa hiyo ulitaka ampongeze ili na mwengine afanye tena, then reaction itokee then uje kulalama hapa eti, sipendi kabisa comments za kishabiki zisizo na mashiko!
 
baada ya habari hiyo ya mbagala itv wakaonyesha ufunguzi wa chuo kipya cha walutheri...ja ajabu mchungaji wala alikuwa hataoi povu wakati anazungumzia amani yetu...hapo nikagundua kuna tofauti kubwa kama mbingu na ardhi kati ya wachoma makanisa na wenye makanisa wenyewe...
 
Nimeisoma korani karibu yote sijaona mahali panapomtaka muislamu amhukumu mwanadamu mwingine mwenye imani tofauti na yeye. Mkiihitaji korani naweza kui-upload humu jamvini.
 
Madudu ya Jk hiyo! Serikali legelege ndiyo faida yake hiyo!

Hatuna rais ila tuna mfano wake na tumwache aendelee na safari zake ya nje ya Nchi mpaka tuone mwishowe!

Nitakubalia na Thread hii mpaka vitendo vionekane ila nina imani ya kwmb ni ZIROooooooooo!!!!
 
Mwambie amkamate Sheikh Ponda kwanza,au akavue Gamba ndio ataweza ku deal na ishu ya dhaifu wenzake!

Tumekwishamzoea huyo mkweree, maneno mengi vitendo zero; ndio zake hizo kuwa ni upepo unapita!! Ukiona ametishia hivyo ujue anaandaa safari kukimbia kuwajibika!!!
 
Waislam watambue kuwa si kwamba wakristo wanashindwa kuchoma misikiti au kwamba ni waoga la hasha bali ni wastaarabu,wanaheshimu na kujali utu na mungu wao si wa visasi na fujo. Tz tuheshimiane.

Ila kama uvumilivu ukituishia inawezekana zikachapwa hivi karibuni. Na asikudanganye mtu ikiwa hivi hata kwenye masumbwi wakristo wanaweza!!!
 
Hamna jipya coz hawez fanya lolote anachowaza ni mkewe na watoto wote kupata nfs za uhongoz ndan ya nyinyiem.
 
Watashughulikiwa na nani ? Kama lini ?
(ie labda tuanze na uamsho, waliogomea sensa, nk)
 
Back
Top Bottom