Jumuiya ya wanataaluma waislam (TAMPRO) watoa msaada hospitali ya Muhimbili

Barubaru

JF-Expert Member
Apr 6, 2009
7,161
2,323
Jumuiya ya wanataaluma Waislam wa Tanzania wanetoa msaada wa vifaa vya tiba Kwa Hospital ya Muhimbili huko Dar es Salaam venye thamani ya shiling za Kitanzania MILLIONI mia moja katika maeneo ya Upasuaji, vifaa vya nusu kaputi, vifaa vya matibabu ya Pua na koo na masikio, vifaa vya watoto na vifaa vya nusu kaputi na vya ICU.

Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Rais wa Jumuiya hiyo Bwana Mussa Mziya kwa waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dr Hussein Mwinyi.

Kwa maelezo na picha pitia hapa
MICHUZI: JUMUIYA YA WANATAALUUMA WA WAISLAM TANZANIA WATOA MSAADA MUHIMBILI
 
Hongera sana TAMPRO kwa misaada hiyo kwa wananchi wenzenu.

Allah awabarik sana
 
Mkuu Barubaru TAMPRO wamefanya jambo jema; kuliko kuisadia radio imaan ya kichochezi. Kwa upande hao kama wasomi waje huku mbagala kutupa pole tuliochomewa makanisa
 
Last edited by a moderator:
safi sana ila pia wangetoa msaada kufidia uharibifu wa makanisa kule mbagala.

Si unaona bana, hawa jamaa wakienda shule wakaelimika wanakuwa watu wa msaada kwa jamii. Lkn hawa wakina Ponda ni tatizo sana.

Waliosoma wakapata akili wanadonate 100m kusaidia afya, wanaoongozwa na shetani wanatoa $3.3m kumlipa atakayemuua mtu aliyetoa maoni yake.

Big up biggies
 
Pongezi zao, inaonyesha wanasimamia dini yao vizuri ni mfano mzuri kwa kwa kundi dogo linaloharibu sifa ya mtume na uisilamu kwa kuona watu wa dini nyingine ni maadui, WAMEONYESHA UISILAM NI UNYENYEKEVU HONGERENI SANA
 
Back
Top Bottom