Ajali mbaya leo barabara ya Dar-Moro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya leo barabara ya Dar-Moro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimunyesam, Oct 14, 2012.

 1. kimunyesam

  kimunyesam JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Nimepita barabara ya dar-moro ajali ya lori la mafuta na gari kubwa la sogea satom ijengayo barabara ya songea nantumbo roli limebeba mtambo yote mawili yameteketea moto huku lori jingine la tatu likipinduka vibaya!nimebahatisha picha moja huku nikiendesha gari kwani traffic police very busy arround that was today morning.no anymore info!
   
 2. k

  kalekela Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tupia hiyo picha mkuu ili tujione kilichojili.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tangu asubuhi ndo unaleta saiz, hata watu wa kuokelewa si wanapotea kabisa, bora tu ungekaa nalo moyoni. Hata hiyo picha hadi tukuombe uibandike.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh! Mungu atuepushe na hizi ajali
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh! Hz ajali mpaka lini jamani?
  Bwana wa Majeshi usitupite!
   
 6. by default

  by default JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu jaribu kupata dondoo usikurupuke ayo malori yaligongana jana ndio yakawaka moto lile lile kontena lililoanguka jamaa alikuwa anakuja speed alipoona moto break zikagoma,dreva ikabidi alipeleke porini kukwepa moto.in short ajali imetokea jumamosi mida ya 10am.swali fire extinguisher zinafaida gani katika magari kama ajali za moto zipo nying kwa sababu maeneo ya mikumi kwenye zile bumps kubwa kuna body la basi lililoteketea kwa moto limetelekezwa kando ya barabara
   
 7. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280

  LiverpoolFC kuna mengi yanasemwa kuwa yule chekacheka katoa damu za watu kwa lusifa ili iwe sadaka. Otherwise it can't be daily ajali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Eneo gani mkuu maana natokea moro kwenda dar na sasa nipo chalinze sijaona ?
   
Loading...