Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HII NIMEITOA FACEBOOK JAMANI, nikaona nanyi msome, mie nimeupenda sana huu utenzi!!!!.......................... Uko wapi baba, mwanao mimi nakutafuta/ Ni miaka imepita enzi za baiskeli mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Yaliyotokea Ijumaa yamenifanya nifikiri sana, nimewaza uharibifu na wizi uliotokea katika zile nyumba tatu za Ibada, sijui watafanyaje kufidia ile hasara, kama ni mahakamani sijui nani atashtakiwa...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Inbreeding-Kuzaana kupitia uzao ulio na ukaribu wa damu umeelezwa kusababisha vifo vya utotoni, kupata uzao wenye kinga kidogo ya magonjwa.Ulemavu wa akili na mwili na mengineyo.Yote haya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninahitaji marine boards na milunda kwa ajili ya ujenzi, ninafahamu hivi vitu huwa vinatumika mara moja. ninajaribu kupunguza gharama za ujenzi kwa hiyo natafuta milunda na marine board...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
MKUTANO Mkuu wa kwanza wa CCM katika Mkoa wa Geita janaumemchagua Mwenyekiti wake wa kwanza wa CCM ambaye atakiongoza chama hichokatika kipindi cha miaka mitano ijayo ambapo Joseph Msukuma alipata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maalim Seif, Shikh Ponda, Shikh Ali Basaleh ni wadau wa TV Imani ndio maana inatukana serikali na ukristo lakini haifungwi angalia hapa: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
HALI siyo shwari ndani ya Jeshi la Polisi nchini baada ya askari wake zaidi ya 12,194 kukosa mishahara kutokana na mabadiliko ya mfumo wa malipo kwenye mtandao wa kompyuta, uliobadilishwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu,nilikuwa sijawahi kuangalia kipindi cha mboni show tangu kianzishwe,leo nilikutana na mada kwenye JF inasema ni kipindi ch KI freemson,honestly sikuisoma hiyo post,lakini muda sio mrefu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF kwanza habari za wekend,kuna jambo moja kuhusu saa linanipa shida kidogo kulifahamu: Nimejikuta nafuta tu mambo haya pasina ufahamu wa kina :-kwanza kurekebisha saa yangu kwa kizungu...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kila sehemu anayotaka kupaki hapa arusha unakuta kibao reseved park sasa sisi wengine tupaki wapi?unakuta mtu mmoja kachukua parking hadi nane peke yake eti kwa ajili yake na wateja wake.alafu...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kwa mtazamo wako ni nani afisa/meneja mawasiliano bora nchini anayewakilisha shirika/kampuni/wizara/taasisi yake vizuri kwa umma?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi , Hii nimeitoa kwenye mtandao unaoitwa wiki.answers.com.Lengo si kuleta takwimu za kijeshi zilizotolewa kule bali madai juu ya Baba wa Taifa Mwl Julius K.Nyerere kuwasaidia akina Kabila...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
In our house in Nsukka, the small university town in eastern Nigeria where I grew up, my parents’ bedroom harboured a cupboard, reached only by standing on a stepladder. In that cupboard lay a...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tutapona kweli! Nafikiri hii ni hali iliyo katika sehemu nyingi za miji ya Tanzania. Maji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekwenda ku-draw pesa kidogo ya week end katika ATM ya NMB, cha ajabu nimefuata procedure zote na ikaanza kuhesabu lakini ilipofika mwisho ikatoa kadi yangu bila kutoa pesa. Hapo hapo nikapata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I dot not wish to dispise some other peoples business but surelly my DAR Epress is no more. Yesterday I bordeded it but to my disappointed I and my fellow passengers arrived at Kimara Mwisho at...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hivi huu mtandao wa tigo umekuwaje mbona wanafanya uhuni wa kutuibia waziwazi! Jana nimeongeza salio la 5000,nikaongea dk 3,simu inakata eti salio halitoshi!kuangalia nakuta imebaki sh.2!leo...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Mara nyingi tumeshuhudia NEMC wakijipambanua kwa kufungia vikampuni vidogo ati kwa kuharibu mazingira lakini makampuni makubwa kama BARRICK, GGM,Tanzanite One, etc yakiachwa kuchafua mazingira...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I sent you this email about two weeks ago and i got no response, so i am constrained to contact you again via the internet which has been severely abused by fraudsters over the years. I worked...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuelekea sensa, hawakuweka burner kwenye screen wakati wa taarifa ya habari, kuonyesha countdown. Ila sasa wamefanikiwa kuweka ya dume condoms. Hii nchi inawaza ngono sana. No wonder afande nae...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom