Kwa kawaida yanapotokea machafuko ya namna kama ile ya Mbagala, Kariakaoo na kuwawa polisi znz, yanasemwa mengi hata yale waliyokuwa wakinong'onwa na watu fulanfulan yanajitokeza leo...
Wapendwa wanajamvi napenda kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki kuwa mpendwa wetu Dr Balla fyp Masselle wa department ya linguistic UDSM jana saa 1 kasorobo ucku amefariki akiwa hospitali ya...
Kufuatia vurugu za waislamu jana maeneo ya Ikulu, mfuasi mmoja nilimsikia akimwamuru afande usinishike afande usinishike. Na inavyoonekana afande huyo alionyesha kutii amri hiyo, mpaka askari...
Leo nataka nizungumzie diplomasia ya Tanzania, au kama kitu kama hicho kipo! Sijui ni uvivu wa kufikiri au ni ukosefu wa taaluma, niambieni.
Katika miaka ya sitini, sabini na themanini Tanzania...
Jana ikulu ya Jk imewaanfikia vyombo vya habari kukanusha kwa mara nyingine kutekwa na kuteswa kwa Dr. Olimboka na kusema kuwa sio kazi ya Ikulu kuteka watu na Kuuwa.
Hoja binafsi na ya Dr...
Rada ya Tanzania inayotumika kuongozea ndege imaharibika tena na safari hii ni kifaa kinachohitaji milioni 40 ili itengamae.
Miezi kama miwili iliyopita rada hii iliharibika na kugharimu...
Shekhe Sadik Godigodi aliwapongeza wakristo kwa utiifu na kuheshimu sheria kutokana na uzalendo walioonesha na kuwasihi kuendelea kuwa na moyo huku vyombo husika wakichukua sheria dhidi ya...
Nimekuwa nafuatilia tatizo hili la uzembe,rushwa,ufisadi(rushwa kubwa) ndani ya sehemu mbalimbali za vyombo na taasisi za Serikali.
Kwa mtazamo wangu sasa hata maadili ya kazi vilevile yamepungua...
Habari wana jf,mimi ni mmojawapo kati ya wale ambao huwa tunasikia kuhusu MoU kitu ambacho kimekuwa kikipigiwa kelele sana na ndugu zangu waislam. Hebu mwenye ufahamu na hiki atufahamishe kuwa MoU...
Nilikuwa nachukizwa sana na waandishi wa habari namna walivyokuwa wanaandika vitu vya uongo kuhusu lile sakata la madaktari na hatma ya Ulimboka. Hasa waandishi wa tz daima na washabiki wengine wa...
kama mtoto vile huzaliwa na kukua na kujitegemea.hakika chadema ulizaliwa na sasa umekuwa mtu mzima watanzania wengi wana imani na wewe na wako tayari kukukabidhi Tanzania mwaka 2015 utawale na...
kumekuwa na wimbi la vijana wanaopenda kukimbilia kwenye fani fulani fulani kwa lengo la kujipatia maslahi kwa kuwa kazi hizo zina maslahi zaidi, hili ni jambo jema! Tatizo ni kwamba, sababu...
Waislamu wengi wa Tanzania Bara wemonekana wakikerwa na kitendo cha Rais wa Nchi ambae ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Kuwatatulia Matatizo yao kwa Kutumia Mguvu Za...
Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
BREAKING NEWS.........
VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.
Jeshi la Polisi...
JWTZ v/s Polisi:
Nimefahamishwa kuwa, askari walioavalia sare za JWTZ walishuka kwenye lori lao na ‘kumlabua' askari aliyekuwa akiongoza magari kwenye eneo la Ubungo, Dar es Salaam kwa...
Serikali nilazima wakaechini kutatua matatizo na waislam na kuyaweka hadharani, ili wananchi waelewe ninani msanii anae hatarisha maisha kwa wa-Tanzania
Wote tunajuwa kuwa kuna tatizo, kwa hiyo...
Kuna habari inaripotiwa muda huu, kuwa kuna moto mkubwa unawaka katika duka la vifaa vya ujenzi Tegeta. Taharuki ni kubwa sana.
Ambaye yupo eneo la tukio azidi kutufahamisha.
Chanzo ni...
Kilichoungua ni banda la mifugo ambayo ni ng'ombe na nguruwe , ila hakuna wanyama waliodhurika na tukio hilo. Banda hilo lipo kwenye uzio wa kanisa katoliki na ni mali ya kanisa hilo.
More later...
UPDATED:
Over £2million worth of illegally shipped ivory was confiscated by custom officers in Hong kong in the city's biggest ever seizure of endangered species products. Seven people were...
Mh membe leo anaongoza harambee ya ujenz wa kanisa kasulu kigango cha murubona.tayari ameishafka. Ibada karibia inaanza. Nitawajuza kadiri nilivyojaliwa na mungu kile kinachoendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.