Tusipo angalia tutafika pabaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusipo angalia tutafika pabaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Israel masawe, Oct 21, 2012.

 1. I

  Israel masawe Senior Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kumekuwa na wimbi la vijana wanaopenda kukimbilia kwenye fani fulani fulani kwa lengo la kujipatia maslahi kwa kuwa kazi hizo zina maslahi zaidi, hili ni jambo jema! Tatizo ni kwamba, sababu serikali inashindwa kudhibiti usawa na uwiano mzuri kimaslai /mishahara kwa fani mbalimbali. Mfano, ni vijana wengi ambao kutoka moyoni wanahamu ya kuwa waalimu ila kutokana na kuwepo na uduni wa kimaslahi wamejikuta wanafanya kazi ambazo hawakuwa na mpango au wito wa kazi hizo. Hali kama hii inatupeleka kulekule kwa madaktari wanao pasua kichwa ilhali mgonjwa unatatizo la mguu. Wito kwa wadau woote waliopo karibu na mawaziri na wakuu wa idara mbalimbali, wajaribu kupunguza tofauti na kasumba zinazo jijenga kwa sasa kuwa fani au kazi fulani hazifai na hazina maslai ili vijana wetu wawe na moyo wa kuzifanya na kuzipenda kama kazi iliyo katita wito wake. Mbinu na njia ya kwanza ni kuheshimu sheria na taratibu ambazo zinapangwa na serikali yenyewe. Kama vile kuzingatia, Posho, incriment, good condition, likizo na malipo, promotions, kujiendeleza, motivations, uhuru wa kufanya kazi sehemu unayotaka ukitimiza mashari ya mwajiri nk. Tukizingatia haya tutarudi kule kule kwa zamani kwamba kazi zote ni sawa ila tofauti ni ndogo ndogo. Sio mwenzio ni diploma holder ya health anadaka laki 6 wew ticha degree holder laki 4 tena una fundisha physics biology na chemistry. Hapo una weka chaki chini unabeba sindano fasta kisa ni......
   
Loading...