Kwamwe Uislam usihusishwe na wasiosoma/waliokosa Elimu nifuatilie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwamwe Uislam usihusishwe na wasiosoma/waliokosa Elimu nifuatilie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mansakankanmusa, Oct 21, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Kwa kawaida yanapotokea machafuko ya namna kama ile ya Mbagala, Kariakaoo na kuwawa polisi znz, yanasemwa mengi hata yale waliyokuwa wakinong'onwa na watu fulanfulan yanajitokeza leo.

  Nimejikuta nakutana na watu wakisema waislam hawakufanikiwa kupata elimu kama walivyo wengine, laa. Ni kosa kubwa.

  Ni kosa kubwa na ujinga kuwaza hilo, waliofanikiwa kusoma 1. biBle au Divinity hata theologia na 2. waliofanikiwa kusoma Islamic Knowlegde si lazima awe amefikia sharia, atakubaliana nami kwamba hata siku moja usichanganye haya mambo, siri ya waliosoma haya mambo wanaijua wao. kwa ufupi SANA ELEWA HIVYO

  Ninaawasihi watanzania wenzangu msikurupuke kubainisha mambo bila kujua undani wake, usimdharau mtu ukadhani hajui kitu, wewe nde mtumwa wa elimu ya wakoloni. Pamoja na hili, kuwachanganya waislam na fujo zilizotokea si vizuri, kulijudge na kuanza kumnyooshea kidole mtu/binadamu mwingine, eti kwa kuwa ni muislam, watanzania watakuwa wanafanya kosa la kulijutia kuwamulika waislam kama wenye fujo.

  Tanzania haitakalika na wewe hutakuwa na amani.Nakutana na watu wengi sana, kuchomwa makanisa pale mbagala, hata ofisini kwangu limeniathiri jambo hili, kwa kawaida halinipendezi... persuation ndio nyenzo sahihi kumbadili imani mtu sio nguvu, uislam uko hivyo, wanaotumia nguvu wanakosea, nguvu kwa maana ya kutukana wengine, achilia mbali kuchoma nk,

  Sifurahishwi na linayoyaona ofisini na kwa hili utendaji kazi, uchumi na maendeleo ya nchi hii yatapata anguko kubwa, tulizoea sababu mbalimbali zinazochangia kudidimiza chumi zetu, ikiwa pamoja na vita, ukame, nk lkn hizi fujo na mtafaruku vichwani mwa waislam na wakiristu makazini tusitemee maendeleo ya nchi yetu.

  Nasikitika kwamba hata Rais ajae, 2015 swala udini ni jambo kubwa hata kuliko kawaida ya sifa na mvuto wa kumwingiza mtu madarakani, mashuleni, majeshini, hospitalini, magerezani, mahakamani, na ktk huduma nyingi udini utafanya kazi yake kutoka sasa, waislam tunasema huu ni msiba mkubwa, vile utaathiri vizazi vijavyo. basi hata tungekuwa tumeoleana,ingesaidia, mbona ukabila hakuna kwa sana, ni kwa kuwa tuna wakwe na wake na waume ktk makabila yenza,ikasaidia kuondoa hisia mbaya ktk wao, katika mambo mabaya ktk jamii ya kiislam na kikiristo ni kuoa au kuolewa na imani ya pili, ni kama yanga na simba, manchester united na man city, chui na mbuzi. kwa kuwa kuoleana kulishindikana na heko kwa wale walioana. basi chuki haina wa kuiamulia, kwa sabb hata polisi wanadini zao, polisi mwislam na mkiristo, mwana jwtz, hakimu, mwalimu yaani hapa ni fujo na upendeleo hata rushwa haina dhara kubwa kama hili. mungu tulinde na haya mambo. mungu ibariki Nchi hii na watu wake. ameen!
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mambo vip.... poa baadae
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  sijaelewa ulikuwa unajribu kusema nini.

  Tusiwahusishe waislam na vurugu za mbagala na Zanzibar wakati wamesema hadharani wao ni waislam?

  Labda usema tusiwahusishe wote maana waliofanya ni baadhi tu. Na sidhani kama wamehusishawa wote ndio maana walikuwa wanasema bayana wafuasi wa Ponda na Uamsho.
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  tusihusishwe wote mkuu
   
 5. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Ni ngumu mno kuwatenga waislamu na vurugu zilizo tokea. Labda tuseme uongo kinafiki. Haya mambo yanatokea sehemu mbali mbali duniani. Na huratibiwa misikitini. Mara nyingi ijumaa hutumika kuanzisha uharibifu. Allah hutajwa muda wote. Kwa kifupi yanayotokea sasa hapa Tanzania si mapya hata kidogo katika uislamu.
   
 6. K

  Kwaito Senior Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe usituchekeshe, waisalam mna shida laa tukubaliane,tena nashangaa kuona mtu anasema tusihusishe uislam na uchomaji moto makanisa, wao wenyewe wamesema sasa unatwambia nn? mimi sasahv siwapendi kupita maelezo,nlikuwa nawaona ni ndugu lkn baada ya kuchoma kanisa langu ambalo tulijinyima na kuchanga aisee sitawapenda milele,na nafukuza waislam wote nliokuwa nimwwaajiri maana nmegundua sio watu wazuri na mna roho za wivu. kosa afanye mtoto ambae anaweza kuadhibiwa kwa fimbo badala yake mnaenda kuchoma na kuiba makanisan,kama sio chuki na wivu ni nn! Yan sitaki hata rafiki wala jiran mwislam milele. Mmepanda kitu kibaya sana. Hao wenye busara misikitn hawapo?kwann msishauriane mambo ya maana huko misikitn badala ya kufata mikumbo,kila jambo analosema ponda au farid wengne wanafuata tu kama kondoo
   
 7. Kocha

  Kocha JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2008
  Messages: 375
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ukweli ni kwamba huwezi kushika dini iwe Uislamu/Ukristo bila kuwa na elimu dunia,kwani ni rahisi sana kwa mtu alie shika dini halafu hana elimu dunia kuyumbishwa kifikra,ki mtazamo na hata kutumiwa na watu wenye nia mbaya au wasio itakia mema inchi hii
   
 8. w

  wa majambo Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo chuki umezaliwa nayo sema umepata sababu tu hapa,lakini KAFIRI YEYOTE chuki dhidi ya muislam amepandikizwa tangu anakua hivyo hata sishangai unavyosema hauwapendi waislam kama awali ulikua unaonyesha tabasam basi ulikua mnafiki tu ila hili ulilosema saiz ndo lililokua moyoni mwako..
  Sasa we chukia wala hautapunguza kitu katika uislam na kwa waislam wewe endelea na chuki yako na ufe nayo ukiwa na UKAFIRI WAKO!haumsumbui mtu hapa kwani sisi hatuishi kukutegemea wewe KAFIRI hapa duniani!
   
 9. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Tumia busara, Tanzania nzima nyinyiem muwe kama walivyofanya mbagala, na sisi waislam tupandishe kama wewe navyosema unategemea nini, hakika waislam kundi kukuu kuu wamenyamaza believ me or not,
   
 10. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingawa taarifa yako ni ngumu kuielewa inalenga nini , lakini hakuna anayesema kwamba waislamu wote hawana elimu. Ni vizuri kuwa na elimu zote kwa kiwango kizuri kuliko kubobea katika elimu ya dini pekee! Kuwa na upeo wa kutosha wa elimu dunia hasa kwa viongozi unaongeza kiwango cha kuchukuliana kwa kujua mahitaji na matakwa ya makundi mengine ya watu wenye itikadi tofauti na sisi! HAIPASWI KUWA SIRI YAO kama inavyoonekana hapo kwenye nyekundu! Ikibaki siri, ndio maana watu wanahoji! Ninachokiamini mimi ni kwamba kama kuna msomi, halafu anajaribu kuigeuza historia kwa kuitumia elimu yake, mtu huyu Elimu alioipata haijamkomboa! Hii ni kwasababu, elimu sahihi ni nyenzo mojawapo ya ukombozi wa kifikra, kwa mtu moja moja na hata jumuia kwa ujumla!. Tunategemea elimu ya mtu pamoja na kuonekana katika makaratasi, lakini pia ionekane hekima katika kuongoza, kuonya, kusihi na kudhibiti mihemko ya waumini wake!

   
 11. I

  IKORI Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamaa hapo juu utafukuza waislam uliowaajiri kwani wewe hazina? Au we ndio kampun pekee! Kauli zako hazina mashiko,sifikirii msomi kama wewe ungeweza kuongea pumba kama hizo.wenye akili timamu wanachangia na kutafakari hasa ni waislam wote wanaofanya hizo fujo? We unaibuka na hilo la ajira! Ahahaaa!
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  na wanaoendelea kuipandikiza chuki baina yetu watanzania makafiri na waislam atakufa nao mwenyewe. uislam ndio dini ya amani, na makafiri na wwayahudi wataichukia siku zote, lakini mnaua kuna wayahudi na makafiri, nyie ni katika nani?
   
 13. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  TATIZO HAPA NI KINYUME, SIRI TUNASEMA, BAYANA TUNAFICHA. KWA MILA ZA KWETU HURUHUSIWI KUSEMA, UTAAMBIWA UNA HILA UNA GUGU
  KWANINI ALAUMIWE DOBI KUTAKASA KANIKI HALI TUNAJUA RANGI YA NGUO
  KAMWE NAKATAA KUWA ELIMU YENU ILINGANISHWE NA WAO. WAO WAKO JUU HATA KAMA MTAPINGA. Endeleeni kufundisha watoto kugoma na kuandamana
   
 14. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  halafu juzi nilikutana na waislamu wanajadiliana na kupeana mkakati eti ijumaa ijayo waislamu wote wapeane taarifa wakaswali msikiti mmoja ili wakianza maandamano na vurugu wawe wengi na ambao wataweza kuwakabili askari.sasa kama si washari ni nin?
   
 15. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Uamsho wamesema hawahusiki, wamesema fujo zinafanywa na vikundi vilivyoundwa na wanasia wakati wa chaguzi.

  Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
   
 16. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  MIMI NAMWAMINI MUNGU MUUMBA MBINGU NA DUNIA,ila ninacho shangaa ni hawa binadamu wanao lazimisha mungu wao ndio awe mungu wa wote.hivi waislamu bila vurugu maisha hayaendi? tazama jinsi vurugu zao zilivyo iangamiza somalia,angalia AFAGHANISTAN ilivyo rudi nyuma kimaendeleo! tazama lebanoni,syria,chechnia,iraq, libya etc hivi kote huko bado hawajajifunza kitukweli? HAKUNA UTULIVU HAKUNA MAENDELEO.Waislamu wasikilizeni wake zenu na mrudieni MUNGU wenu wa kweli na KWELI MTAIPATA.Vita vyenu vya kibinadamu kamwe hamtawashinda wazungu na wakristo kwa ujumla.Binafsi sipendi vita vya kidini kwasababu nusu ya ndugu zangu ni waislamu.
   
 17. c

  chakochetu Senior Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kikundi chenye nia fulani kinatumia sababu za dini kufanikisha malengo yake,hakuna anataka kusema ukweli[hata uarabuni vikundi hivi vipo].!!!!!
   
 18. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  Kuna kikundi chenye nia fulani vinatumia sababu za dini kufanikisha malengo yao hakuna anaetaka kusema ukweli[hata uarabuni vikundi hivi vipo].!!!!! sio uislam na waislam..kama hamsikii hata macho hamuoni?
   
 19. f

  filonos JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  naimani kabisa kama WATANZANIA ote tungekua na maswaji na majibu kama yako naimani HAPA TULIPO LEO TUSINGEFIKA NA HUKO TUNAKO ELEKEZWA KWENDA HATUTAENDA busala itangulie hekima ufuate na AMANI IDUMU .....
   
 20. O

  OMARY2012 Senior Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wewe unashabikia maovu. je nami nikiwafukuza wakristu. kama utaki jirani wa dini nyingine basi kufa leo. washitaki waliochoma kanisa na si kuwachukia waislam wote.
   
Loading...