Hongera chadema una kila sababu ya kuwa chama tawala 2015. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera chadema una kila sababu ya kuwa chama tawala 2015.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SIR JAPHET, Oct 21, 2012.

 1. S

  SIR JAPHET Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mtoto vile huzaliwa na kukua na kujitegemea.hakika chadema ulizaliwa na sasa umekuwa mtu mzima watanzania wengi wana imani na wewe na wako tayari kukukabidhi Tanzania mwaka 2015 utawale na utimize ndoto zao za maisha yenye neema sawa na raslimali za nchi.umekuwa ukisingiziwa mengi mf.wewe ni chama cha wachaga,wakristo,msimu,familia- yote haya hayatakuzuia kushika dola ya tz 2015!hongera umekuwa makini kutegua mitego ya kukufanya uchukiwe na watanzania.watanzania pia wamefunguka kwa vile hawalaghaiwi
   
 2. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Diplomasia mbovu, mahusiano mabaya na dola, siasa za vurugu, ukosefu wa busara miongoni mwa viongozi, matumaini ya kupitiliza kwa vijana, ahadi nono kwa watumishi, ukabila, udini, kutotii sheria, maandamano ni mojawapo ya mambo yatakayoigharim CDM kama ikiingia ikulu 2015.
   
 3. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pipooz pawa ni dawa ya magamba.
   
Loading...