Serikali wakaechini kutatua matatizo na waislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali wakaechini kutatua matatizo na waislam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dr.Who, Oct 20, 2012.

 1. D

  Dr.Who Senior Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali nilazima wakaechini kutatua matatizo na waislam na kuyaweka hadharani, ili wananchi waelewe ninani msanii anae hatarisha maisha kwa wa-Tanzania

  Wote tunajuwa kuwa kuna tatizo, kwa hiyo suluhisho sio kutumia Wajeshi, nguvu au slaa, tujifundishe toka nchi zilizoendelea zenye technologia za ulinzi na slaa za kisasa, lakini slaa zao hizo hazikuweza kuwasaidia na kuwaletea amani


  Naamini kabisa waislam hawana shortage of fighters, wakitangaza jihadi watapata support ya hali na mali, ilitusifikie huko lazima serikali iache kiburi, iwasikilize, na wananchi tuelewe madai na majibu yao, kama waislam hoja zao hazishikiki, basi tuwapinge wote au kama serikali inaendeleza usanii, tuwatoe madarakani, lakini hatuwezi endelea namna hii.

  Kunauwezano mkumbwa waislam wa Tanzania wakaamua kutumia slaa kali za mabomu ya kisasa ambayo yanaweza patikana kirahisi na kujifunzia kupitia Mtandao, watakapo kuwa na uwezo huo, madhara yake yatakuwa makubwa na haitokuwa rahisi tena kuishi watanzania kama tunavyo ishi sasa.
   
 2. j

  jembe12 Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kk hyo hoja yako!mm naona wao wangetumia busara kungoja vyombo vya sheria kuamua juu ya hao viongozi wao walio kmatwa kuliko kufanya fujo,kuandama bila kibari,mungu bariki tz
   
 3. G

  Gene Senior Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WATATUE CHUKI ZENU KWA WAKRISTO????..... Hebu jaribu we mwenyewe kwanza kutoa pesa kwa ajili ya kurekebisha makanisa mliyochoma

  MAANA MNATIMIZA ALIYOWSTUMA BABA YENU
   
 4. D

  Dr.Who Senior Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matatizo haya hayaja anzia kwenye makanisa, jaribu ku-think outside the churches, nimatatizo yasiku nyingi, waislam wana madai ambayo wanaona serikali, hawataki kuwasikiliza, nahaya nimambo ya kawaida serikali zote duniani kunakuwa na group linalo dai haki, na kusikilizwa, sio kutumia slaa au fujo

  Issue hapa sio kanisa pekee, kuna mengi zaidi, wewe na mimi nilazima tuyajue, usifie msalabani,,,
   
 5. D

  Dr.Who Senior Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makanisa haya tumeyajenga wenyewe through kodi zetu wote na MoU na mafisadi wengine wanaotuibia na kuleta makanisani, unataka nichangie nini zaidi ya hapo ??

  Hakuna mtu mwenye chuki na ukiristo bali ni vitendo vibovu ndio vinavyochukiwa na wala waislam hawana ugonvi na ukiristo kwani ugomvi wao nyie hamuuwezi, waulize wamarikani
   
 6. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mpaka mtakapoamua kutumia usomi wenu kutafiti chanzo SAHIHI cha matatizo yenu ndipo mtayatatua. Kwa sasa hivi wengi mko blinded na chuki na hulka ya kupata majibu rahisi ambayo siyo sahihi:

  1. umaskini wa vijana wa kiislam- sababu ni Nyerere na mfumo kristo, MoU.
  2. uchache wa vijana wa kiislam mashuleni na vyuoni-sababu ni NECTA na wakristo.

  Solution kwa yote hayo- maandamano, kuharibu makanisa, kubomoa baa, kuiba pombe na computer, kuchinja askari...
  Kudai kujiunga na OIC, kuanzishiwa mahakama ya kadhi..

  Sasa hata serikali iwaelezeje, kama nyie mnang'ang'ania "solutions" zenu, hakuna kipya kitatokea. Tutaendelea kupigana, kuchinjana. Uzuri wa vurugu ni kuwa hata yule anayefikiri ataua tu naye pia anaweza kuuwawa.
   
 7. D

  Dr.Who Senior Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Inaonekana Bro, umekata tamaa au upendi kutumia akili kutatua tatizo, kama madai ya waislam ni OIC na Kadhi Court , haya yanaweza zungumzika, naamini ni sirikali ya CCm na TLP ilkuwemo kwenye election manefesto yao, kama waliwadanganya waislam ni vizuri serikali ijieleze.

  Nkama tatizo ni umaskini nadhani serikali inaweza kuinvest zaidi ktk area ambazo ziko affected- haya yote yanaweza kuzumgumzika,, nk

  Nakama wanadai sirikali ni mfumo kristo, yote haya wanazungumzika- ni ni haki yetu sisi tuelewe ukweli

  Sulution sio kukata tamaa, kuogopa kuongea na ku-face challenges au kutumia nguvu, bali negotiotion table ndio solution ya madai yote.
   
 8. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280

  Hapo ndipo wanaponiacha hoi na hizo hoja zao holela ya 1 na ya 2 ulizoziandika. Hivi si ni Nyerere aliyeleta free education hapa Tanzania ili watu tusome tuondokane na ujinga? Nyerere hapa aliona mbali kwani yeye alisoma na kufikiria kupata uhuru wa nchi hii hivyo hakutaka kuwa mchoyo kwa mtanzania yeyote na ndiyo maana alileta free education for all, mpagani, mkristu, na muislam tusome. Sasa iweje leo yeye ndo akawa chanzo cha mchafuko wa unafiki hapa nchini? Uchache wa vijana wa kiislam mashuleni kunasababishwa na Nyerere? Kwani ni Nyerere aliyekataza watoto wenu wasisome shule waende madrasat? Huu wote ni ufinyu wa mawazo na ukosefu wa maadili mpaka mnakuja kudanganyana na kuandamana bila vibali. Si mnaona sasa, mnaandamana wala hamjui kuandamana kunatakiwa kuwa na kibali. Jamani shule ni muhimu, watu hawajasoma tu ili wasome bali kuondoa ujinga ambao Nyerere alitaka ututoke, nyie vipi, bado tu?
   
 9. S

  SWEET GIRL JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 468
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  ah hakuna atakaewasikiliza nyie.kwanza we mleta mada me sielewi vizur uwezo wako wa kufikiri.hamuonewi na yeyote bali mnajionea wenyewe.kwann hamuweki msisitizo kwenye mambo ya msingi kama elimu??muda ambao sisi tunafanya kazi nyie mnaandama au mko msikitini mnajadili jinsi ya kudai haki what type of haki???mmenyimwa kuvuta hewa???acheni upuuzi.makanisa na hule zetu nzuri tumejenga kwa kuchangishana pesa makanisan.na msipoenda shule mtatawaliwa siku zote.acheni ujinga
   
 10. J

  Jembe_Ulaya Senior Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi naamini kuna watu wapo nyuma na kuchochea walete fujo, mfano Gadafi aliwafanyia mambo mengi mazuri lakini walimjeuka na hatimaye kumuua...
   
 11. B

  Buluki Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kama serikali ya zanzibar inasema haihusiki na kukamatwa kwa sheikh Farid utasubiri chombo cha sheria gani!?
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  mbona nawe pia unayejiita GT unalalama tu as if unaandamana?, matatizo no yepi?: kukosa elimu?, mumepungukiwa wake wa kuoa?, mmekosa watu wa kuchinja?!, fanyeni kazi, acheni kutegemea misaada ya waarab, itamaliza vizazi vyenu.
   
 13. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kumbe serikali ya Tnz huwa inatoa vibali vya maandamano/haki eeh. Duh utakuwa unaishi shimoni sio bongo.
   
 14. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dunia nzima inaomba msaada hata USA we umeona waislamu tu?? Non sense. Ngoja moto wa ukweli ulipuke ndo utajua kauli yake sahih au lah. Time will tell mtajificha shimon
   
 15. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli wapo watu nyuma nao ni wale woote wanaojaribu kuzuia haki za waislamu either kwa makusudi au kwa kusikiliza mabwana zao.. Basi ipo siku haki itachukuliwa kwa njia wanayotaka wao
   
 16. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndivyo mnavyodanganywa makanisani waislamu hawajasoma eehh, non sense. Kauli zenu kama hizi ndio mana watu wanafanyizia. Propaganda za kizamaaaani eti wakoseme waislam fanya researxh then utajua. Tofautisha kati ya kudai haki na vurugu sisi hatumsubirii mtu atupe haki yetu iwe kokote dunia, nyie na iman yenu ya kinyonge subirini.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ni matatizo gani spesho waliyonayo wasilamu ambayo sisi wengine hatunayo? basi kama yapo hayo matatizo spesho ya wasilamu basi yaekwe bayana halafu kwa kua wao wanalipa kodi spesho basi serikali iyatatue!
   
 18. B

  Bijou JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  Adui ya Mkristo ni shetani, Adui ya mwislamu ni mkristo!!!!! Sasa Hali serikali it aingilia vipi???? Tatizo ni MFUMO wa mafundisho!!!!!!
   
 19. B

  Bijou JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kanisani kinachozungumzwa ni bib ilia na siyo masuala ya dini nyingine, karibu uje usikie, HAKUNA mihadhara ya kukashifu dini nyingine kwakuwa Mungu wetu hapiganiwi, anajipigania MWENYEWE!!!!!,
   
 20. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  We uwezo wako wa kufikir mdogo sana nchi hii kabla ya uhuru na baada ya uhuru til 70s wasomi wengi nchi hii walikuwa waislam zikafanyika jitihada za makusud kuwadrop ktk kila idara ili malengo ya watoa misaada iweze kufikiwa
   
Loading...