Ikulu: Hatuhusiki na kumteka Dr. Olimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikulu: Hatuhusiki na kumteka Dr. Olimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Return Of Undertaker, Oct 20, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,371
  Likes Received: 8,463
  Trophy Points: 280
  Jana ikulu ya Jk imewaanfikia vyombo vya habari kukanusha kwa mara nyingine kutekwa na kuteswa kwa Dr. Olimboka na kusema kuwa sio kazi ya Ikulu kuteka watu na Kuuwa.

  Hoja binafsi na ya Dr. Olimboka!

  Kama ikulu haihusiki kwa nini wanakataaa kuunda tume huru ya uchunguzi? Na mbona kesi imesimamaa na muuwaji hajasikika tena?
   
 2. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Ni dr Ulimboka siyo Olimboka
  Hata hivyo jana Ikulu imeongelea kesi hii tu? Yaani crisis yote ya jana hakuna walichokisema?!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtu mdogo sana tume ya uchunguzi ya nini aache upuuzi wake aongeze gharama kwa umuhimu gani aliokuwa nao bora angekufa kabisa tumalize upuuzi wake wa kuchochea watu kugoma au akatwe ulimi kabisa sio vidole tena
   
 4. s

  salmar JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Huyo ulimboka katekwa na wahuni wenzake anataka kujikosha mbele ya umma hana loloye kweli ikulu I deal na mtu mpenda hela kama ulimboka shame on him
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  nyie mliochangia hapo juu, ina maana mnakubaliana na kazi ya serikali? Jana mlifanywa nini kariakoo
   
 6. s

  salmar JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ukweli utabaki kuwa ukweli ikulu haihusiki kwani huyo ulimboka ana kipizaidi cha kuifanya ikulu imteke great thinker always think big
   
 7. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wahusike,wasihusike IPO siku ukweli utajulikana na kila mtu atalipwa anachostahili.
   
 8. s

  salmar JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 782
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Swts ww kweli ni great thinker na comments zako zina msimamo wa usomi zaidi
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,562
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Salmar, nakubaliana na wewe, kwa hiyo wa kutekwa ni Sheikh Farid tuu ndie mwenye chazaidi?!.
  P.
   
 10. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sawa ikulu haihusiki,basi rama akamatwe .kama polisi imeshindwa kumkamata rama basi itoe ruhusa kwa ulimboka kumtia nguvuni mbaya wake.
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtu alikuwa ana maugomvi yake huko na wake za watu anasema serikali amdanganye mke wake sio sisi.
   
 12. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,972
  Likes Received: 37,535
  Trophy Points: 280
  Kwanini alietajwa ktk taarifa ya Dr.Ulimboka kwa vyombo vya habari na umma asikamatwe na kuhojiwa.Analindwa kwa maslahi ya nana kama sio ikulu?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ikulu haijajibu hoja imetoa porojo,,,,ULI amesema kuwa KIGOGO WA IKULU ANAHUSIKA,,,,na mara nyingi uzoefu unaonesha ukiona IKULU inajibu ujue kweli,,,,sasa wamesubir jk amerud ndio wamejibu
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ikulu haijajibu hoja imetoa porojo,,,,ULI amesema kuwa KIGOGO WA IKULU ANAHUSIKA,,na wala si IKULU INAHUSIKA,,na mara nyingi uzoefu unaonesha ukiona IKULU inajibu ujue kweli,,,,sasa wamesubir jk amerud ndio wamejibu
   
 15. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa maana yako hata ishu ya RPC Barlow asikamatwe mtu.
   
 16. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hata mie nashangaa.ndio maana namshauri ulimboka amchukulie hatua kwa njia anazojua yeye tuone kama ikulu itaendelea kumkana.
   
 17. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Excuse my ignorance.

  Na huyo sheikh Farid naye ndio nani? Mbona watu wanajitafutia umaarufu kwa nguvu, siku hizi?
   
 18. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ndiyo ikulu ya kihuni, tuendelee kuivumilia kidogo japo tumechoka kuvumilia
   
 19. Access Denied

  Access Denied JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Lenye mwanzo hua halikosi kua na mwisho, ukweli ni kama nge alie kwapani ipo siku utainua mkono kumtoa. Wanatumia nguvu nyingi sana kudanganya wakati ukweli unajulikana hata kwa watoto wadogo.
   
 20. N

  Ndinimbya Senior Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama ikulu haikuhusika ilikuwa na umuhimu gani wa kulifungia gazeti la mwanahalisi.
   
Loading...