Sheikh Sadik Godigodi ni wa kuigwa,apewe Tuzo ya amani.

mgomba101

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,817
706
Shekhe Sadik Godigodi aliwapongeza wakristo kwa utiifu na kuheshimu sheria kutokana na uzalendo walioonesha na kuwasihi kuendelea kuwa na moyo huku vyombo husika wakichukua sheria dhidi ya wahalifu kwani yeye hafikirii kuwa hawana uwezo wa kulipiza kisasi bali uvumilivu walionao ndio uliowafanya kutofanya hivyo.
 
Binafsi nampongeza sheikh Godigodi pamoja na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,wameonyesha busara na hekima ya hali ya juu kwenye mgogoro huu wa kidini.wametoa kauli nzuri zenye kujenga na sio kubomoa.
Mwenyezi mungu awabariki.
 
Kwa hiyo tunawaomba member wa JF muwe mnapeleka matusi yenu moja kwa moja kwa watu sio kwenye dini,mnatukera sana kututukania dini yetu ambayo sisi tunaamini inatumiwa tu na watu wachache wasiojitambua,
Kwa hiyo kosa la mtu liwe la mtu na sio kuhusisha dini kwa kukashifu,
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Ngongoseke matamko haya yalipaswa kutolewa mapema na kuna waislam humu jf walikuwa wakishadadia maovu hayo..
 
Last edited by a moderator:
Amesema sawa na kama kiongozi wa dini ni vizuri kuzungumza maneno yenye staha Sheikh Godigodi anastahili kuigwa kwa maneno yake yenye hekima na busara.
 
Kwa hiyo tunawaomba member wa JF muwe mnapeleka matusi yenu moja kwa moja kwa watu sio kwenye dini,mnatukera sana kututukania dini yetu ambayo sisi tunaamini inatumiwa tu na watu wachache wasiojitambua,
Kwa hiyo kosa la mtu liwe la mtu na sio kuhusisha dini kwa kukashifu,
haikuwa nia yetu kuitukana dini, bali kuna baadhi ya waislam humu ndani walikuwa wanatetea hayo yanayofanyika kwa kusingizia uislam, hapo ndipo tulipokuwa tunaamua kuwapa vidonge vyao. Tunajua na tunaamini ya kwamba Uislam ni dini ya amani, upendo na uvumilivu, na zaidi ya yote neno Islam yenyewe inaashiria unyenyekevu na si fujo.

Lakini inapofikia mahali watu wanaamua kushadadia yanayoendelea kwa kisingizio cha kuilinda imani, ndipo hapo tulikuwa tunaanza kujiuliza maswali ya kulikoni huyo Mungu wao anapiganiwa kwa mapanga tena na wanadamu. Maana twajua Mungu ndiye mlipa visasi, sasa iweje wanadamu wajitwishe jukumu la kumsaidia Mungu kulipa kisasi?
 
Ngongoseke matamko haya yalipaswa kutolewa mapema na kuna waislam humu jf walikuwa wakishadadia maovu hayo..

Faham kuwa hata jf kweli walikuwepo waislam ambao walikuwa wanapingana na misimamo ya kina ponda kama mimi mmoja wao' kwa kiasi kikubwa mliniudhi sana kwa kutukana dini yangu moja kwa moja tena kwa kashfa nyingi'

Mimi UAMSHO wameniblock kwenye page ya fcbk kwa sababu tu msimamo wangu na wao tofauti'tumeshindana kwa hoja na sio matusi mwisho wakaniblock kwa hiyo naomba tuweke hoja zaidi na sio kashfa na matusi,
 
Last edited by a moderator:
adui yetu sio uislam wala ukristo bali hali ngumu iliyosababishwa na CCM, hao wanaoitwa wahuni wakavamia makanisa na kuyachoma hivi wangekuwa wameajiriwa viwandani wangepata wapi huo muda? wengine walistahili kuwa vyuoni wakijipatia maarifa lkn wakakosa nafasi hiyo, na kubaki mitaani bila shughuli yoyote na akitokea mtu na kuwafundisha maovu ni rahisi wao kuyatekeleza kwa sababu wamefundishwa adui yao ni mkristo anayeabudia kanisani badala adui yao ni CCM anayetumia rasilimalin yao vibaya.
 
hata mimi nimempenda sana mzee huyu, ana busara sana,naamini wako waislam wema na wenye busara kama yeye, Mungu ambariki
 
Faham kuwa hata jf kweli walikuwepo waislam ambao walikuwa wanapingana na misimamo ya kina ponda kama mimi mmoja wao' kwa kiasi kikubwa mliniudhi sana kwa kutukana dini yangu moja kwa moja tena kwa kashfa nyingi'

Mimi UAMSHO wameniblock kwenye page ya fcbk kwa sababu tu msimamo wangu na wao tofauti'tumeshindana kwa hoja na sio matusi mwisho wakaniblock kwa hiyo naomba tuweke hoja zaidi na sio kashfa na matusi,
Pole sana kwa kukwaziaka lakini naelewa watu waliokuwa/wanaushambulia uislam kwa matukio yaliyosababishwa na uamsho/ponda ni vingumu kuutofautisha kuwa ponda haungwi mkono na waislamu wote na sitegemei kama iko siku itatokea akaungwa mkono na waislam wote kwa hiyo wengi wanachukulia kuwa ni msimamo wa waislamu wote lakini kama kiongozi wenu wa kitaifa angetoa matamko haya mapema sidhani kama yangetokea haya...
 
asante kwa hili, NAMPONGEZA HUYU SHEKHE KWA BUSARA ZAKE,

wasiwasi wangu ni kuwa akina Ritz, Zomba, Ally Kombo, Chama n.k,
watamtuhumu kuwa ametumwa na kanisa katoliki, kkkt au na CDM
coz these guys never think outside the box
 
umenena neno la kweli
 
asante kwa hili, NAMPONGEZA HUYU SHEKHE KWA BUSARA ZAKE,

wasiwasi wangu ni kuwa akina Ritz, Zomba, Ally Kombo, Chama n.k,
watamtuhumu kuwa ametumwa na kanisa katoliki, kkkt au na CDM
coz these guys never think outside the box
 
Shekhe Sadik Godigodi aliwapongeza wakristo kwa utiifu na kuheshimu sheria kutokana na uzalendo walioonesha na kuwasihi kuendelea kuwa na moyo huku vyombo husika wakichukua sheria dhidi ya wahalifu kwani yeye hafikirii kuwa hawana uwezo wa kulipiza kisasi bali uvumilivu walionao ndio uliowafanya kutofanya hivyo.

Mkuu tunarudi kulekule, slowly but sure we will come to realize that the problem is not mtoto kudhalilisha Qoran, na si waislamu. Bali ni wahuni wa kisiasa waliotumia unyonge uliopo miongoni mwa waislamu.
 
Kwa hiyo tunawaomba member wa JF muwe mnapeleka matusi yenu moja kwa moja kwa watu sio kwenye dini,mnatukera sana kututukania dini yetu ambayo sisi tunaamini inatumiwa tu na watu wachache wasiojitambua,
Kwa hiyo kosa la mtu liwe la mtu na sio kuhusisha dini kwa kukashifu,

Mkuu kwanini mukubali dini itumiwe vibaya na watu wasiojitambua, next time wasiojitambua wakiandamana na nyinyi munaojitambua muandamane kuwapinga.
 
Binafsi nampongeza sheikh Godigodi pamoja na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,wameonyesha busara na hekima ya hali ya juu kwenye mgogoro huu wa kidini.wametoa kauli nzuri zenye kujenga na sio kubomoa.
Mwenyezi mungu awabariki.
wanafaidi vinono vya BAKWATA unategemea wasemeje?
 
Back
Top Bottom