Kanisa halijaungua Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa halijaungua Arumeru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja, Oct 21, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kilichoungua ni banda la mifugo ambayo ni ng'ombe na nguruwe , ila hakuna wanyama waliodhurika na tukio hilo. Banda hilo lipo kwenye uzio wa kanisa katoliki na ni mali ya kanisa hilo.

  More later kujua chanzo cha moto.
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Tatizo hapa JF kuna watu wanakurupuka kama wameshikwa ugoni! No research No right to speak! mburula type!
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nilipatwa na mashaka thats why sikucomment tuwe tunapost habari zenye uhakika uzushi si mzuri.
   
 4. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kipindi cha mwinyi mabanda ya nguruwe yaliungua sana.ni vyema tukajua chanzo cha moto.
   
 5. mbota

  mbota JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  asaante chanzo ni nn mkuu
   
 6. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Chanzo bado wanafuatilia nimeongea na kateksta wa kanisa hilo akaniambia wanazima kwanza then atanirejeshea
   
 7. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hebu tupe ufafanuzi nani kawasha moto na ni kwanini ukawahi husema kanisa halijaungua kwani mlipanga kulichoma?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa
   
 9. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Kaeni mlilinde kwani mna mashaka, hata maandiko yamenena hivyo
   
 10. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,279
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nilipoona post ya kwanza ilosema Kanisa linaungua niliamua kwenda kabisa kujionea.

  Nilifika nikakuta moto ushazimwa.

  Kilichoungua ni banda la Mifugo (nguruwe) . Banda hilo liko ndani ya uwanja wa Kanisa, mbele ya Ofisi kuu ya Parish.

  Nguruwe wengine wameungua kidogo kidogo, Na wengine walishindwa kutoka tokana na matope yaliyokuwamo. Inasemekana waliteketea.

  Chanzo cha moto hakifahamiki, lakini kuna mtu alishasemaga atalichoma, na ni mkaazi wa jirani hapo, mitaa ya Ngarasero.

  Ni Leo tu katika Ibada ya Asubuhu Paroko alilaani vitendo vya kuchoma Makanisa na kuwasihi waumini wafunge kwa Novena.


  Source. Nilifika tukioni. Kuhusu kuisiwa mtu ni mazungumzo ya waumini waliokuwepo wakati wa uzimaji.
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,279
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280

  Moto ushazimwa.
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Mnakurupuka kulipoti outdated news, nikama kujitekenya kisha ukaangua kicheko
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  waumini wachangie na wapanue banda ili waongeze nguruwe wengi zaidi...!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...