Usinishike Afande, usinishike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usinishike Afande, usinishike!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kuchasoni Kuchawangu, Oct 20, 2012.

 1. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kufuatia vurugu za waislamu jana maeneo ya Ikulu, mfuasi mmoja nilimsikia akimwamuru afande usinishike afande usinishike. Na inavyoonekana afande huyo alionyesha kutii amri hiyo, mpaka askari aliyekuwepo nyuma alikuja kumshika na kumpiga.

  Hii inaonyesha polisi wetu wamekuwa waoga kukabiliana na waislamu. Maana walivyokuja JWTZ kusaidia na waandamaji waliogopa tofauti na polisi walivyokuwa wameonyesha kushindwa kukabiliana na tatizo hili.
   
 2. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yule sijui ni MGANGA WA KIENYEJI, wa humu jf maana ile arrogance!? Eti usinishike wakati unavunja sheria. Alitaka askari wampapase?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kile kidume kina imani ya juu kabisa juu ya m/mungu, maneno aliyoongea yalinitoa machozi nami namuomba ALLAH anizidishie iman, nisimuogope yeyote ila yeye ALLAH.
   
 4. Kipigi

  Kipigi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 60
  Wanajua wale jamaa wanaweza kuijaza MOI kwa sekunde chache tu.
   
 5. GLORY TO GOD

  GLORY TO GOD Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amina!
   
 6. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tatizo la double standard,kwenye chadema wanajifanya wagumu,kwa hawa jamaa wanalainika baada ya kupigwa mkwara,cjui wanaogopa albadir?washughulikie wahalifu bila upendeleo labda itawaweka huru...
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Aende sasa huko Keko akawape wengine darsa la kumtetea mnyazi mngu
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mi niliwapenda....sijui kwa nini hawakuendelea....
   
 9. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,529
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani 'usinipige afande usinipige'....kumbe ni usinishike..? kweli polisi wetu ni dhaifu au huenda walikuwa wanajuana..
   
 10. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hujui uzungumzalo. Prof za watu waachie wenyewe. Kazi ya polisi na jeshi ni tofauti kabisa, na hii ni kutokana na mafunzo wayapatayo.

  Sina muda wa kukuelimisha, ila hii inaonyesha jinsi CHADEMA wakiingia madarakani watavyofuta kazi ya polisi na badala yake kuweka jeshi. Poleni sana.
   
 11. controler

  controler JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 1,537
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimependa hilo neno MNYANZI MNGU! Hivi hawawezi kutaja jina kama lilivyo?
   
 12. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Na mtume je? Au unajua kuwa alikufa na kaburi lake lipo hapa duniani na hana nafasi mbinguni?
   
 13. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu
   
 14. J

  JAPHETtumpa Senior Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Anachoamini yule ni kuwa ana sapoti ya ikulu ana haki ya kufanya chochote kwa sababu yeye nio muislam, anazoefu na serikali ya ccm na kamatakamata hii kwake ni tendo la kuigiza tu kama ambavyo mimi naamini.

  Imani yangu na ya huyu mtu ni kwa sababu yamefanyika mengi wa namna ya chokochoko za kidini lakini muda wote rais na serikali yae wamekaa kimya.

  Kwa mfano kuzuia watu wengine wasiendelee na ratiba yao ya maisha kama vile kula na kunywa kwa sababu dini fulani wanamfungo ni chokochoko za kidini, lakini sikia kiongozi mkubwa kama pinda waziri mkuu akitumia woga wake wakati akijibu swali halali la mheshimiwa Msigwa, huyu jamaa anasema kwa mazingira fulani ni halali, jibu lililofurahiwa na baadhi ya wabunge wakidhani wao wana haki kuliko wote; huu ni mfano tu wa utaira uliotufikisha hapa, yapo mengi.

  Tusidanganyane jk anamkono wake kwenye hizi vurugu anadhani itamsaidia kuiona pepo
   
 15. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Albadir inasomwa wapi kwani si kutoka kwenye hicho kitabu au!Tusilete mabishano ya yule mtoto aliyekojolea kitabu!Jembe sana yule afande aliyeshusha kichapo!
   
 16. j

  jakamoyo JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Aaamin.
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi nadhani yule askari alikuwa anaogopa kamera na si kumuogopa muislamu,ingekuwa hakuna kamera yule jamaa angekiona cha mtema kuni!
   
 18. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu
   
 19. k

  katalina JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi wakitumia nguvu mnalalamika wanavunja haki za binadamu, wasipowapiga eti wamekuwa dhaifu. Enyi wagalatia nani aliyewaloga?
   
 20. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 2,053
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  yaani lawama zote mnamtupia jk,wakati wala hausiki na haya mambo.huu ni wakati umefika waislamu kuamka na kujua jinsi wanavyo kandanizwa na mfumo kristo na bakwata.ni kipindi cha mapambazuko,kama cdm wamavyoita m4c,jk yeye ametoa uhuru na hana habari na yale yote mnayomsimanga na mabaya mnayo mpa kuanzia majina na kauli zenu mnazozitoa kwake na familia yake lakini yeye amejikalia kimya anawaangalia nadhani huo ndio mnaouona udhaifu wake au mnataka aanze kuwashughulikia nyie kwa defarmation?.kama nawaona jana mmejipanga kwenye tv na familia zenu mnaangalia wamaume.polisi walikuwa kama jeshi lakini mwishowe watu waliwazoea hata hao wanajeshi watajiingiza kwenye haya mambo mwishowe watapewa kahawa na kashata na watu watawachezea sharubu zao.
   
Loading...