Dr Balla maselle wa UDSM idara ya lugha hatunae tena

Doyi

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
1,425
1,475
Wapendwa wanajamvi napenda kuwajulisha ndugu jamaa na marafiki kuwa mpendwa wetu Dr Balla fyp Masselle wa department ya linguistic UDSM jana saa 1 kasorobo ucku amefariki akiwa hospitali ya muhmbili baada ya .kuugua ugonjwa wa kupungukiwa na damu mara kwa mara takriban mwez mzima.Mpaka anafariki chanzo cha kupungua damu mara kwa mara madaktari hawajatoa ripot ya kueleweka kuwa hali hyo ilisababishwa na nini.Msiba upo chuo kikuu maeneo ya UDASA mtaa Wa Simba nyumba No 4.Taratibu za mazish bado znaendelea kupangwa.Kwa maelekezo zaidi pga namba0784492260 au kwa wadau watakaoweza kutoa rambi rambi kwa njia ya Tgo pesa tuma 0715492260.Zote hzo ni namba za mke wa marehemu.Asanteni
 
Ukishaona madaktari wanasua sua kukupa jibu ujuwe ngoma hiyo, unauliza jibu?

Alazwe popote apendapo aliyemuumba.
 
Rip mwalimu wangu! Dah, jamaa alikuwa ananiacha hoi kwa ucheshi wake darasani! Hata hivyo alikuwa anatumia robo tatu ya muda wa kipindi kusimulia hadithi, ila zile hadithi zilikuwa na mantiki kuliko kilichopo kwenye mtaala! Rip mpambanaji!
 
Kila nafsi itaonja umauti kapumzike kwa amani dk Balla Maselle tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi mbele yetu nyuma yako kwa heri mpambanaji
 
RIP my classmate Dr Balla Maselle. Mara ya mwisho tulikutana Mlimani City ukifanya shopping na wanao. Tutakukumbuka daima kwa uwezo wako mkubwa wa kitaaluma na ucheshi wako. May God the Almighty rest your soul in eternal peace, amen!
 
Ukishaona madaktari wanasua sua kukupa jibu ujuwe ngoma hiyo, unauliza jibu?

Alazwe popote apendapo aliyemuumba.

una hakika mkuu au unaropoka??

ukimwi au ngoma sio ugonjwa///it may interest you kuwa kila mtu ( isipokuwa ajali) wanakufa kwa ukimwi!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom