Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna Mchungaji ametoa Kauli kuwa Chanzo cha Kuchoma Makanisa ni CCM ambayo iliingiza kinyume cha Sheria kipengele cha Mahakama ya Kadhi ili wapate Madarak amwaka 2005. Amesema mtu wa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimekutana na waandisihi wa habari makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam leo, ambapo wajumbe wa Kamati Kuu, Profesa Abdallah Safari na Mabere...
15 Reactions
322 Replies
29K Views
Ni sababu gani magurudumu ya magari yanatengenezwa kwa rangi nyeusi? Ni kwa sababu ya mambo ya temperature? Je materials labda?
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Katika uchaguzi wa uwt ccm imeonekana rushwa kutia fora, na vyombo vya habari vimejitahidi sana kuripoti huku gazeti la Nipashe la jana limelipoti vizuri na kwa undani, lakini takukuru wako kimya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeanza na swali nikiwa sielewi maana halisi ya Umoja Wa wanawake Tanzania hasa ukuzingatia muda tulio nao kwa sasa tupo kwenye vyama vingi lakini cha kushangaza mama zetu ukiangalia siku ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa kwenye website ya TMF(Tanzania Media Fund) hivi punde ni kuwa sasa mchakato wa kuomba ruzuku ili kufanya habari za uchunguzi umenza rasmi. tuchamke waandishi,ili tufanye kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la mazingira Tanzania (NEMC) lipo likizo. Wadau wa Mazingira Morogoro hawapo tayari kuingilia kati mambo haya. Maji Morogoro hayapatikani kwa muda mrefu kwa uharibifu wa mazingira...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau, Kuna hili tangazo la 'tuko wangapi' ambalo linarushwa kwenye vituo vya Radio na Tv sasa. Nataka kulizungumzia hili ambalo linarushwa kwenye Tv. Kwa kweli kwa maadili ninaona si sawa kwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Maisha na huduma zikoe huko kwa washiriki wa Maisha Plus??
0 Reactions
16 Replies
4K Views
habari,juzi nimeongea na ndugu yngu alyepo oman, amesema kuwa rais jk alvyokuwa huko mfame wa huko ktka kuonyesha kuwa anamkubali sna rais wetu,alimpeleka kulala katika moja ya mahekalu yake...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
mkurugenzi mtendaji wa halimashauri ya wilaya ya Bukombe/mbogwe mkoani Geita amewaonya Watumishi wapya waloajiliwa mwaka 2012 wilayani humo kuwa wanachama wa mfuko wa LAPF la sivyo watakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi tulishuhudi Magari ya Kijeshi yakiwa yamebeba wanajeshi yakirandaranda mtaani kwa nia ya kudhibiti vurugu za waislamu!Lakini swali nikwamba Jeshi la polise limeanza kuingiwa baridi na kuomba...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Kitendo cha Waziri wa Elimu, Phillipo Augostino Mulugo kuaibisha Nchi yetu mbele ya alaiki ya wageni south Afrika si cha kufumbia macho, nilazima awajibishwe. Waziri huyo wa Elimu alisema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jamii forum,za sahiz,polen na kaz.nlikuwa na swali kwa wanaofahamu chuo cha uuguzi cha red cros cha mbez beach kunduch naomba anpe details zake ntafikaje hapo.npo ubungo.
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Matukio ya mjini yameteka uTanzania wetu tuishio vijijini, mara Ponda,mara Fareed, mara Ulimboka, mara JWTZ k/koo, mara soja kampiga polisii Ubungo mataa... yaan nchi inaendeshwa na matukio...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekaa na kutafakari matukio ya hivi karibuni yaliyofumuka hapa Dar na kule Zanzibar kwa kisingizio cha mtoto kukojolea quran tukufu. Makosa kama haya ni nadra sana kujitokeza hapa nchini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
...eti ni sauti ya nyangumi! BBC News - Beluga whale 'makes human-like sounds'
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Wadau nafanya maandalizi ya kuandika tittle ya research na ningependa iwe inahusu siasa,nawakaribisha kwa roho safi ambae anaweza kuja na titlle ambayo itakua relevant na mazingira ya siasa za...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mbunge huko sumbawanga amehamasiha watu kuchoma moto KANISA,GHALA LA MAHINDI,NYUMBA NA MATREKTA chanzo ITV wenye taarifa kamili tunaomba mtujuze hapa jf.
0 Reactions
65 Replies
10K Views
KUMETOKEA TUKIO LA UJAMBAZI JIONI HII MAENEO YA TABATA MATUMBI BARABARA YA MANDELA AMBAPO MAJAMBAZI WANAOKADIRIWA KUWA WATATU WALIVAMIA GARI MOJA AINA YA PRAO KWA NIA YA KUJICHUKULIA FEDHA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom