Sheikh Farid mbaroni, atakiwa kuthibitisha utekwaji wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Farid mbaroni, atakiwa kuthibitisha utekwaji wake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Capt Tamar, Oct 21, 2012.

 1. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Habari kutoka fb page yaoJumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar
  BREAKING NEWS.........
  VIONGOZI WAKUU WA UAMSHO WAZUIWA NA POLISI AKIWEMO AMIR FARID HADI.

  Jeshi la Polisi limewazuwia viongozi wakuu watano wa Uamsho bila ya kosa lolote.
  Viongozi hao ni Amir Farid Hadi Ahmed,Amir Msellem Ali Mselem,sh Azzan,sh Mussa Juma na sh Hassan Bakar.
  Jeshi la Polisi lilimwita Amir Farid kumchukua maelezo lakini hukuweza kwenda peke yake aliyambatana na Viongozi wenziwe.
  Lakushangaza Jeshi la Polisi linavunja sheria wenyewe kwani nikinyume cha sheria walimchukua maelezo Amir Farid bila yakutaka na kumruhusu wakili wake kuweko sh Salum Taufiq.
  Baada ya kumaliza kumchukua maelezo wakaamua kuwazuwia viongozi wote walokwenda bila ya kutoa sababu maalum au kutoa kosa ambalo lilowafanya wawatie ndani viongozi hao.
  Inavoonekanwa Jeshi la Polisi linataka kuanza kufanya njama za kutaka kuwabandikia kesi ambazo hazina kichwa wala miguu tayari kuna tetesi kuwa wanataka kuwapa kesi ya mauaji ya askari wao aliyepigwa mapanga juzi.
  Tunawambia tena jeshi la Polisi kuwa wao ndio wa mwanzo wanaovunja sheria na kuanzisha fujo kesi yoyote watakayowapa viongozi wetu ambayo itawadhalilisha wajue wataharibu Amani ya nchi hii.
  Kwani hata dhamana wamekataa kutoa wanataka kuwafikisha mahakamani viongozi hao siku ya Jumatatu na kutaka kuwabandikia kesi ya mauaji ili wakose dhamana na wawadhalilishe viongozi wasipate kutolewa tena.

  Tunawatahadharisha Jeshi la Polisi Amani ya nchi hii wao ndio wanaichezea kumteka wamteke na kesi wa mpe siku zote walikuwa wanae wao huyo Askari wao alimuua sangapi?
  Wao ndio wanaowabuudhi wananchi kuwapiga ovyo katika maeneo tofauti wakishirikiana na KMKM na KVZ halafu sasa wanataka kuwambia viongozi wetu ndio walioanzisha fujo.
  Ila wananchi nyote munaombwa muwe watulivu na mutunze amani kwa sasa huku Mawakili wetu wakishulikia kesi hiyo pamoja na Viongozi wengine.
  Ila tunaombwa pia tufike kwa wingi Mahakani siku ya Jumatatu watakapoasomewa mashataka yao,mpaka sasa hatujajua watapangiwa Mahakama ipi.

  Tuachiwe Tupumuwee......Hao ndiyo Uhamisho bana!!kila kitu wanaonewa wao!!this time naona tuwaonee jumla,
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanastahili, waache usanii wakipumbavu
   
 3. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  our country is really in danger!
   
 4. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,885
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  kwa nini hawa uamsho wasianzishe chama cha siasa kikasajiliwe kwa Tendwa?
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Elimu shida, wameshindwa hata kuandika kwa ufasaha hiyo habari!!! duh!
   
 6. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Dawa pekee ni serikali kuamua kuwa ama moto ama baridi haiwezekani waue polisi na bado serikali inawa pet!wa dar walifika hadi kwenye milango ya ikulu,hawa uhamisho watazama ndani kabisa!!sipati picha ingekuwa ni chadema!!maiti zingesombwa kwa katapila ila kwa kuwa hawa hawana athari ya moja kwa moja kwa ccm waachwe tu.
   
 7. atubariki

  atubariki JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  huna jipya nenda wewe ukazuiwe!
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Hapo wamejitahidi sana mkuu wangu!!usijekuta imepita kwenye mikono zaidi ya kumi kuisahihisha kabla haijafika mtandaoni,hawa watu wana shida nyingi mno,hawasaidiki.
   
 9. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Serikali isirudi nyuma.Uvumilivu kwisha.Hao wasirudiuraianu tena.Halafu nyie uamsho muamke kwenye elimu pia.hamasisheni kwenda shule maana hata writing skills bado.
   
 10. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu utasemaje kuwa hawana hatia ya Mauaji ya Askari wakati chanzo cha machafuko ni huyo Faridi kujifanya katekwa nyara wakati si kweli na hali hiyo ikasababisha vurugu z,bar yote! anyongwe tu!
   
 11. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  Duh kushindana na hawa wendawazimu kazi kweli kweli,maana ni sawa na kumkimbiza mwendawazimu aliye uchi Kisha kakuibia nguo lazima naww utaonekana chizi
   
 12. African American

  African American Senior Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usalama wa taifa sijui kwa nini wanawacheleweshe hawa wapumbavu?
   
 13. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mbona serikari inawaogopa hawa vichaaa, vipi risasi ni kwajili ya mandamano ya chadema tu?
   
 14. a

  adolay JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Only for a weak and unforeseen president can be tested stupidity like this.

  Leave all good Muslim in a real sense, majority part of Muslims are good people unfortunately a terrorism minority part

  under Muslim image confiscating and undermining the majority and all other Tanzanians, these should haven been put

  into custody completely and no chance for discussion or making dialog a long time a go.

  The life of more than 45m Tanzanians are in danger fore the sake of making happy a minority group under farred & Ponda this is not acceptable.
   
 15. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Inaonekana ndivyo ilivyo,mabomu ni kwa ajili ya chadema tu,hawa hawana athari kwa ccm.
   
 16. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  So what about UAMSHO
   
 17. l

  lukme Senior Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  waovu wadhibitiwe
   
 18. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chanzo cha vurugu za Zanzibar ni Uamsho, ni sawa wakifikishwa katika mikono ya sheria.
   
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi wanafikiri serikali haiko macho nini??


  Naunga hoja mkono! Kama si wao haya yaliyotokea ktk mtazamo wa haraka haraka yangetokea wapi?

  Wote kesi ya mauaji ingewapendeza kabisa!
   
 20. a

  adolay JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280

  Ban it out completely for life all over Rep of Tanzania.
   
Loading...