Moto Mkubwa unawaka maeneo ya Tegeta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto Mkubwa unawaka maeneo ya Tegeta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngarenaro, Oct 21, 2012.

 1. N

  Ngarenaro JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna habari inaripotiwa muda huu, kuwa kuna moto mkubwa unawaka katika duka la vifaa vya ujenzi Tegeta. Taharuki ni kubwa sana.
  Ambaye yupo eneo la tukio azidi kutufahamisha.

  Chanzo ni ITV/Radio One
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh si mchezo
   
 3. D

  DEMO Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni duka au maduka? Nikimaanisha ni 1 au zaid ya 1. Mwenye taarifa zaid tafadhali tunaomba atujuze?
   
 4. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Naona Tanesco wamekata umeme,labda ili usilete madhara zaidi!!!
   
 5. Millionea

  Millionea Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Chanzo cha tatizo nini? Mungu awasaidie. Maana ni kuchanganyikiwa huko...duka la vifaa vya ujenzi thamani yake haipungui milioni 100
   
 6. p

  pilau JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Pole yao Mungu awasaidie
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  tegeta kibaoni au wapi?
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siyo uamsho kweli...
   
 9. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Naona sasa watu mnatumia makalio kufikiri.
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  JAMANI MODs HAWA WACHOCHEZI PIA WADINI MBONA MNAWALEA? NAPENDEKEZA
  WACHOCHEZ WA DINI WAWE BANNED MWEZ MMOJA
   
Loading...