Mh. Benard Membe kuongoza harambee ujenzi wa kanisa Kasulu

kajunju

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
999
315
Mh membe leo anaongoza harambee ya ujenz wa kanisa kasulu kigango cha murubona.tayari ameishafka. Ibada karibia inaanza. Nitawajuza kadiri nilivyojaliwa na mungu kile kinachoendelea
 
Mgeni wetu ndo anaingia kanisan.ameambatana na mh. Machali mbunge wa ksl mjini.misa karibia inaanza
 
Misa tayari imeanza.mh membe yuko pamoja na mkuu wa wilaya mr makanga.nitawakuza harambee rasmi ikianza.
 
Ameongea mengi. Alialikwa na fr. Deus kwa kushrikiana na mh. Machali. Katoa 50 milioni. Cash kalipa mil 11.1<zikiwemo za machali 1.1 milion>. Mh jk kamtuma awaeleze aman. Wakristo tuwe wavumilivu.wanaovunja amani watashugulikiwa na dola.tusichoke kuish kwa aman. Mh membe na rais jk walienda vatican 2008.papa alitaka kujua amani ya tz ilivyo. Jumla ya harambee ni 71 milion. Cash milion 28,laki 5. Amemsifu machali alivyomshawish kuja kuendesh harambee. Alitaka achange 5 mil bila kuja ksulu. Wao machali na paroko walimtaka aje muda wowote atakaotaka ili aje na sh. 5mil. Ameamua aje mwenyewe na kuongeza pesa kwa kushrikiana na marafiki wake
 
haka kazee membe kanafiki sana sijui kwa nini mnakakribisha kanisani
 
Hongera Mzee Membe. Usisite kuchangia makanisa ya Mbagara yaliyochomwa moto kama ukiitwa pia!
 
Mzee wa mtama anacopy na kupaste techniques za EL.kumbe si mbunifu!
 
Back
Top Bottom