Waislamu wakerwa na JK kutumia Jeshi na nguvu nyingi kwa kutatuwa matatizo ya wananchi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waislamu wakerwa na JK kutumia Jeshi na nguvu nyingi kwa kutatuwa matatizo ya wananchi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdulahsaf, Oct 21, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Waislamu wengi wa Tanzania Bara wemonekana wakikerwa na kitendo cha Rais wa Nchi ambae ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Kuwatatulia Matatizo yao kwa Kutumia Mguvu Za Kijesshi.

  Wengi wanasema hasira zao watazionyesha katika uchaguzi mkuu wa ccm 2015 kuipigia chadema chamaa kikuu cha upinzani ili kiondowe ccm kmadarakani.

  Sasa ikiwa itakuwa hivyo na tujalie iwe hivyo yani nguvu za waislamu ambao ni wengi wakishirikiana na chadema jee kweli sisi itakuwa na ubavu wa kuzuwia wimbi hilo na nguvu hio?

  Kwa upande wetu wa Zanzibar na harakati za ukombozi hilo pia litatusaidia sana kwa vile Nyani mkubwa akicha angushwa lalobaki tutajuwa jinsi gani Wazanzibar kuwazibiti.

  Maana kufa kwa ccm ni kufa kwa power yote ya unyanyasaji kwa kutumia Vikosi vya ulinzi.
  Na jengine ambalo ni muhimu nilitaka kujuwa vipi tume ya Mh Warioba na katiba ambayo inatarajiwa kuanza kazi 2014 huku tumebakiwa na mwaka moja tu, chadema kunyakuwa?

  Sikuchukuwa mabilioni ya Watanzania walipa kodi kufunja tu.
  Maana Chadema inasema Katiba itafumuliwa na kuanza mwanzo agenda ya kurudisha Tanzania huru kwanza halafu ndio kukaa mezani kuangalia maswala ya Muungano kwa wananchi wa pande zote mbili wanataka uendelee au vipi?.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  walitaka wachome kanisa na kuua polisi halafu wawe wanaangaliwa tu?
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  haya tumewasikia
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ndio wajue faida ya serikali legelege ya mafisadi!


  Hata nami nimeshangazwa sana na serikali kutumia JWTZ ktk purukushani ya juzi!

  ccm hili litawagharimu na hawataamini kamwe!
  Mabadiliko hakika yanawezekana!
   
 5. salito

  salito JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Hivi waliochoma makanisa wamekamatwa?
   
 6. b

  bodachogo Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Darfur wanaoenda kulinda amani ni polisi au jwtz, kwa wengine wakalinde amani halafu kwetu wakae wanaangalia tu, hiyo haiwezekani.
  Charity begins at home
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama wanataka kumuharibia kazi yake, afanyeje?
   
 8. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  usalama wa taifa yaweza ndio walioshauri amiri aagize majeshi yatoke ili kusaidia mapolisi ambao wengi ni waislam kuwadhibiti marafiki, baba na wafadhili wao.
  Inawezekana jeshi limehusishwa kwa vile wengi ni wakristu na wasio na dini hizo mbili.
  Je inamaana waislam wana nguvu kiasi kwamba polisi hawawezi kuwadhibiti bila msaada wa jeshi la wakurya toka zamani.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Very unprofessional stm "waislam wengi"hao wengi wangapi je ulifanya survey?
  Hiyo ni sawa na ambaye akaja apa na kusema wakristu wengi wafuraia JWTZ kuingilia fujo za dsm,kumbe ni stm ya yeye mtoa mada
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Akisema ivo ponda ndo wote wamesema?
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  CHADEMA hatutaki kura za kidini...wadanganye haohao.
   
 12. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sio Darfur peke yake, Tuna majeshi Lebanon, Congo, Zimbabwe, Namibia , Botswana, Malawi, Msumbiji, South Sudan (Kiusalama zaidi)(Kenya, Uganda na South Africa ni kimafunzo) achilia mbali nchi ambazo wengi wetu hatuzijui.
   
 13. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Uchunguzi bado unaendelea
   
 14. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usalama kwanza mengine baadae..waislamu,wakristo hata wasio na dini wafanye mabadiliko kwa maslahi mapana ya taifa letu na si kundi fulani la dini!
   
 15. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wakome! Waende shule!
   
 16. M

  Mundu JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  Mhn cacico huo si ni mpasho dadangu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  waende shule.. Tena serikali haikutumia nguvu hata moja. Angelamba mtu risasi ya moto wasingerudia tena
   
 18. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,174
  Trophy Points: 280
  You can't speak for everyone pls speak for yourself.. kama vile yaandikwayo Maoni ya Mhariri
   
 19. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Bado wamekuwa handled kama binadamu hao. Wote pamoja na viongozi wao waliowahamasisha ni wahu.ni. Yeyote anayekaidi sheria wachukuliwe hatua.
   
Loading...