sasa hivi wimbi la kutekwa nyara kwa wanaharakati mbali mbali nchini likiwa linaendelea, ambapo alianzia kutekwa nyara dr steven ulomboka kwa kudai haki za...
Jana nilikuwa naangalia star tv katika kipindi cha jicho la habari kwakeli Udini uliowajaa wale waandishi habari watz wanaweza kuliangalimiza taifa.
Licha ya wote kuwa washiriki ni waandishi wa...
Wana jamvi...si utani ninamiss Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi...sijui atafunguliwa lini.... Kama kuna mtu yupo karibu na waziri ampelekee ujumbe kuwa kuwa Wa TZ wanashindwa kuendelea na...
Asalaam Alaykum!
Saa 4 asubuhi nilifika Central Police kusimamia mahojiano yake na Polisi kwa mujibu wa haki za mtuhumiwa nilionana na msaidizi wa ZCO daada ya utambulisho na kumfahamisha haki...
Pamoja na yote waliyotufanyia tunawapenda sana:
Wasome hapa:
1. BBC News - Profile: Pope gunman Mehmet Ali Agca
2. Mehmet Ali A
3. Mehmet Ali Agca - Tafuta na Google
4.Pope gunman Mehmet Ali Agca...
Waböngo kwa doublestandardshatufai.
Polisi wakiwabonda CHADEMA kwa kukiuka amri halali wanakuwa wavunjifu wa haki za binadamu na wanaonekana wako juu ya sheria. Yaliyomkuta boko na mamba...
WAKATI sakata la kutekwa, kuteswa na kisha kutupwa katika msitu wa Mwabwepande nje kidogo ya Jiji la Dar ss Salaam kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk Steven Ulimboka, likiwa...
TBC wamepotesha umma kwa kutangaza kua uchaguzi wa UWT ulikua wa amani ile hali ITV na StarTV wakiripoti vurugu na malambano makubwa kati ya wagombea hao. Kwa mwendo huu wa upoteshaji na...
Spesho kwa wale wa Magamba ni kwamba, taarifa nilizozipata kutoka Dodoma ni kwamba Sofia Simba amembwaga Anna Kilango Malecela katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa UWT.
WAZIRI wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe kesho anatarajia kuweka hadharani ripoti ya uchunguzi wa vigogo wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).Hatua hiyo inakuja kufuatia kukamilika kwa ripoti ya...
NIKIWA na wanangu ndani ya nyumba, ghafla tukasikia paa la nyumba yetu linasukwasukwa, mkonga wa tembo ukiwa tayari uko ndani, tulitamani dunia ipasuke .Watoto wakanikumbatia .hakuna wa...
Amri ya kwanza, Watu: Tunaamuru ndugu zetu walioshikiriwa katika vituo mbalimbali vya police kwa kosa la kutoshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi tunataka waachiliwe mara moja na tena bila...
kweli tembea uone maajabu usisubili kuambiwa mambo ya sumbawanga,leo hii hapa mpanda(katavi)imepiga radi hiyo huku jua ni kali sana hadi imeunguza laptop yangu jamani,cha ajabu nyumba niliyofikia...
Kwa hakika tangazo lile lingekuwa na mashiko iwapo yeye presida angeonekana katika mazingira ya utayari wa kwenda kulala,
Iwapo angeonekana amevalia pyjama au kanga ingekuwa nzuri zaidi, sasa...
Hizi vurugu, kuna zaidi ya tunavyojua. Naungana na wanaohisi ishu ni ya kupanga. Hivi hiyo Quran iliyokojolewa iliwasilishwa watu wakaona! Nawapongeza wakristo kwa uvumilivu wao maana wangechoma...
Wadau,
Miezi michache iliyopita, nakumbuka Mheshimiwa Rais Kikwete wakati anafungua mkutano mkubwa AFDB hapa Arusha, alituhakikishia watanzania kuwa baada ya Lema kuenguliwa ubunge wake, kutakuwa...
Brigedia Haruna Rashid Othman ambaye ni mfuasi wa CUF ametajwa Kujihusisha na kundi la UAMUSHO na ametajwa kufanya mkakati wa Kuliimalisha kundi hilo ZNZ na Bara.
Hivi Karibuni Brigedia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.